Which is safer:marijuana vs alcohol

Which is safer:marijuana vs alcohol

Alcohol ina dependence ko mtu anapatwa na withdrawal effects kama ni mtumiaji sana. Bangi haina mambo hayo, hata uvute kiasi gani ukiamua kucha you will never crave for it! Shida bangi ni hallucinogen na stimulant matatizo unayoyapata baada ya kuvuta ndo tunayoyaogopa. Usishangae kuona mtu anatembea kainama ni kwa sababu anahisi mawingu yameshuka sana chini hivyo yatamgonga. Alcohol ni stimulant at low doses, ukiongeza inakuwa depressant ili liver diseases zitakupata wewe peke yako.
 
Kila kitu ukizidisha kina madhara.
 
zote zina madhara kwa wasio zitumia. Kwa watumiaji hata zikichanganywa ni poa tu.
 
Back
Top Bottom