Kosa la Ndalichako ni...

Kosa la Ndalichako ni...

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Kwa miaka mingi baadhi ya wazazi walitegemea kununua mitihani ili watoto wao wafaulu. Wanafunzi wengi hawasomi! Wana vyeti lakini haviwakilishi umahiri wao kitaaluma. Kosa kubwa la Joyce Ndalichako ni kuziba mianya ya wizi wa mitihani. Hata zamani zero zilikuwa nyingi bali zilifunikwa na wizi. Joyce katuonesha hali halisi.
 
::
Huo ni ujasiri wa kitaaluma sisitahili kuliita kosa.
=
 
Heri wingi wa zero kuliko wingi wa wahitimu waliopita kwa kuiba mitihani. Hongera sana Joyce kwa kutuonesha tatizo lililokuwa limefichwa na wezi wa mitihani wakishirikiana na baadhi ya wamiliki wa shule.
 
Ndalichako anaandamwa bure. Tatizo ni mitoto yenyewe
 
Back
Top Bottom