...PPR makosa yenu..

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,151
78,006
...Jana Usiku niliangalia kipindi cha Tv katika TBC 1 kinachoitwa PPR
kipindi kilikua kinazungumzia maonesho ya SABA SABA...na walikua wanahoji kazi za VETA na PRIDE

..Muongozaji /Mtangazaji alikua ni Pascal Mayala
...wahojiwa walikua wabunge.... wengi wakiwa wa Dar es Salaam
..na pia niliona mahojiano ya Bwana @J.W.Malecela

Nianze kipindi ni kizuri na huwa nikiwa na Muda nakiangaliaga...

hapa leo naongelea muonekano wa kipindi...sitagusia MADA ..zaidi nitagusia eneo la Production na Post production

..Production ( camera working)..kwa Cameraman wenu
..ilikuwa haina WB(..White Balance)..hivyo sehemu nyingine picha mbaya hazina ubora
..pili...Mwanga ( Lighting) na kwakua Production ilikua Outdoor (nje)..basi mwanga wa jua ulikua unasumbua
na hivyo kufanya picha ilikua imeungua...na alikua akihama kuingia ndani ( indoor)..Mwanga ama uongezeke au upungue...na kupoteza WB

..Post Production..(Editing and Graphics.)
..hapa sasa kuna vitu niliviona..kwanza kulikua hakuna Title Bar ilikuandika Jina la mbunge na Jimbo lake
..pili alishindwa kuficha makosa ya Camera kama vile kufanya Color correction...kupungza mwanga....ambapo camera man alishakosea toka location kuna ugumu kdg but inawezekana

..Graphics..and Drops
..sikuona graphics wala Drops yeyote kutenganisha kutoka Banda la VETA kwenda Banda la PRIDE
.
Ni hayo tu Machache niliyoyaona ...
..Naamuaminia sana Mtayarishaji wa kipindi sikutegemea kama angeruhusu kipindi kilicho kosa hivyo vitu

..Nategemea kipindi kijacho kitakuwa na muonekano mzuri yaani Graphics kali,Drops na Title Bar kali

...Ni hayo tu..
 
Mkuu Mtu Chake,

Kwanza nakushukuru kwa observation yako ambayo lazima nikiri wazi iko very professional.

Nakiri mapungufu ila hilo la rangi na mwanga, naomba kulitoa ufafanuzi.

Sisi PPR tunatumia kamera za Sony za SD card kwa format ya HD, TBC wao bado wanatumia DV, hivyo picha zote za HD zinazorushwa TBC, zinaonekana kama zimeungua na over exposure!. Fuatilia matangazo ya TBC haswa outside programs za HD au miziki iliyotengenezwa kwenye HD.

Kuna tangazo la Uhakiki la PSPF tumelitengeneza kwenye HD, mteja akaamua kulirusha TBC pekee, it was horrible!, imebidi nilirudishe tangazo lile studio na kuliconvert toka HD into DV na kuwapa walirushe, liko ok!.

Ila kwa ujumla, nimeupokea ushauri wako, tutauzingatia na kuufanyia kazi!

Asante.

Pascal.
 
...Thanx..mkuu..mnatoa HD 1080 au 720..?...nami nimekuelewa sasa...fanya hivyo maana nakuaminia sana...
....sony SD nzuri.. NXCAM..safi mkuu..ila pia angalia na format ya Tv...mie nilikua najua ndio production yenyewe hiyoo Pascal Mayalla
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtu Chake,

Kwanza nakushukuru kwa observation yako ambayo lazima nikiri wazi iko very professional.

Nakiri mapungufu ila hilo la rangi na mwanga, naomba kulitoa ufafanuzi.

Sisi PPR tunatumia kamera za Sony za SD card kwa format ya HD, TBC wao bado wanatumia DV, hivyo picha zote za HD zinazorushwa TBC, zinaonekana kama zimeungua na over exposure!. Fuatilia matangazo ya TBC haswa outside programs za HD au miziki iliyotengenezwa kwenye HD.

Kuna tangazo la Uhakiki la PSPF tumelitengeneza kwenye HD, mteja akaamua kulirusha TBC pekee, it was horrible!, imebidi nilirudishe tangazo lile studio na kuliconvert toka HD into DV na kuwapa walirushe, liko ok!.

Ila kwa ujumla, nimeupokea ushauri wako, tutauzingatia na kuufanyia kazi!

Asante.

Pascal.

Hongera kwa usikivu na kukubali kukosolewa Mr. Mayala, ndio dalili za ukomavu katika kazi, na ndio chanzo cha maboresho ya kazi. Ingekuwa kila mtu anasikiliza maoni ya 'walaji' na kuyafanyia kazi basi mambo mengi sana yangeenda vizuri. Mie mwenyewe niliangalia kile kipindi cha PPR na Sabasaba, nilivutiwa na 'Yaliyomo' kwenye kile kipindi, ingawa kulikuwa na matatizo kwenye picha, kama alivyosema mtoa mada.

Back
Top Bottom