Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 60,221
- 135,703
Wanabodi,
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Samweli Sitta, amezindua "Tangoforums, yenye lengo la kuibua mijadala mbalimbali kuhusiana na Afrika Mashariki.
Uzinduzi huo umefanyika jana usiku katika hoteli Serana na kuhudhuriwa na umati wa watu, wakiwemo mabalozi, unaendeshwa na Taasisi ya Tanzania, Non Governmental Organization, Tango na kufadhiliwa na Shirika la Trade Mark Est Africa, inapatikana kwenye www.tangoforum.or.tz.
Waziri Sitta aliwataka Watanzania kuacha uoga kuhusu Jumuiya ya Africa Mashariki na badala yake kuwa na uthubutu wa kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazotolewa na kwa Wanachama wa Jumuiya ya Mashariki na kushangwa na uwepo wa makampuni mengi ya Kenya nchini yakiwemo mabenki lakini hakuna makampuni mengi ya ya Tanzania nchini Kenya au Uganda!.
Mkurugenzi Mkazi wa Trade Mark East Africa, Pauline Elago, amesema Taasisi yake ipo kwa ajili ya kuwajengea uwezo Watanzania, kushiriki vifua mbele katika masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa Jumuiya ya Africa Mashariki, kuliko hali ilivyo sasa kwa Watanzania kuonekana wako nyuma nyuma!.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tango, Nunga Tepani, amesema, "tangoforum" itakuwa huru kwa mtu yoyote kujiunga na kuchangia mjadala wowote!.
Kwa vile nilibahatika kuhudhuria sherehe za uzinduzi huo, hivyo nimewaletea picha kuhusu tukio hili!.
Natanguliza Shukrani.
Pasco.

Attachments
-
Waziri Sitta Akibonyeza Kitufe Kuzindua Rasmi TANGO Forum. Kulia Ni Mkurugenzi Mkazi Trade Mark.jpeg48.1 KB · Views: 80 -
Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta Akimpongeza Mkurugenzi Mkazi Trade Mark East Africa Pa.JPG230.6 KB · Views: 57 -
Mkurugenzi Mkazi wa Trade Mark.JPG247.7 KB · Views: 54 -
Mkurugenzi Mtendaji Wa Tango Nunga Tepani akizungumza na Waandishi wa Habari, mara baada ya uzin.JPG274.5 KB · Views: 63 -
Trade Mark East Africa, Tanzania Country Director, Pauline Elago exchanging idears with The Min.JPG280.3 KB · Views: 80 -
Baadhi ya Wadau walioshiriki uzinduzi wa Tango Forum uliofanywa na Waziri wa Afrika ya Masharik.jpeg43.4 KB · Views: 89 -
Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta Akisisitiza jambo, wakati wa Uzinduzi wa Mtandao wa Tan.JPG229.4 KB · Views: 54 -
TANGO-Press-releasev3b-1.pdf26.5 KB · Views: 51