Uzi huu hauna lengo la kuhamisha machafuko..
Ila ni wazi Serikali tiifu wameishiwa mpango kazi. Nimekuwa Arusha kwa karibu siku nane mpaka sasa, na hakuna siku imepita bila mtu kutekwa na...
Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni.
Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu...
Kama nchi za nje wameweza kuzuia misaada kwa serikali tu bila mashirika kuguswa basi nchi hizo zitusaidie kuwabana viongozi kulipa mikopo wanayokopa kwao na kuishia mifukoni mwa viongozi.
Hii...
Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu...
Naona baada ya kukataliwa kupewa mikopo na misaada,. Sasa mnakimbilia kujipeleka Kwa warabu
Nawakumbusha warubu sio wahisani wazuri kama wazungu
Mzungu anatoa misaada mingi na masharti machache...
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya...
Kwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere...
Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha...
Bunge la Ulaya lapiga kura ya ndiyo kuzuia misaada Tanzania, lataka Lissu aachiwe
Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU Council) kusitisha ufadhili kwa Serikali ya...
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo.
Pia...
Hili nililiona mapema kabisa hata kabla ya uchafuzi mkuu wa OCTOBER 29 2025
Katika mkanganyiko wa kupoteza madaraka ccm wakafanya waliyofanya na matokeo yake yakaonekana wazi dunia nzima
Kwa...
Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao...
Sijui wapi na itakua lini?, sijui ni kina nani wale na mahali gani? pale masikini sijui kiliwasibu nini? hadi wakawa katika hali Ile!?
Nimewaona vijana wengi wakiwa wanajitoa muhanga kwa...
Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, ametangaza kibali maalumu cha mwaka mmoja cha kuruhusu marekebisho ya taarifa za usajili ambazo zilikwama kutokana na kukinzana na taratibu za uthibitishaji...
Salaam sana Wanajukwaa,
Unakumbuka hadithi ya kitabu cha "A Wreath for Father Mayer:😀😀
Kitabu hiki ni hadithi fupi iliyoandikwa na S. N. Ndunguru (aliandika Stori maarufu ya SAFARI YA GARI MOSHI...
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anayetambulika kwa jina la Said Kabuga, kudaiwa kujitumbukiza kwenye kisima cha maji na...
Mambo yamekuwa magumu siku hizi yani hakuna idara yoyote unaweza kupata taarifa kupitia simu wala app na tovuti na cha kuchekesha mpaka TRA risiti nazo wamefunga taarifa.
Wana muogopa nani?