Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Uwekezaji wa SAMIA Afya kivutio UNGA" >Rais wa Namibia Ataka uwe mfano afrika. >Waziri akumbushia kauli mbiu 'jiongeze tuwavushe salama'.
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Wakati wa mkutano wa UNGA mataifa au mashirika mbalimbali hutumia ile platform kupush agenda zao mbalimbali ambazo wao hudhani zinaweza pata attention ya kidunia maana ni likely dunia nzima huwa...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Wakuu Habari za Uzima, Kama Mwanaume Kamili kuOA Hakuepukiki. Nami Baada ya Kusoma Vitabu Vingi, Threads Nyingii humu JF, Na Kufanya Research Binafsi Nimegundua Wanawake wa Makabila Haya Ni BEST...
4 Reactions
62 Replies
496 Views
Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye...
5 Reactions
12 Replies
223 Views
Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu...
2 Reactions
6 Replies
51 Views
Sonona (depression) ni tatizo linalohusishwa zaidi na mtu kushindwa kuachia hasira zake kwa muda mrefu. Unapokutana na jambo linalokuumiza, halafu kwa sababu mbalimbali ukakosa namna nzuri ya...
3 Reactions
8 Replies
98 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Habari zenu wakuu. Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA). Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so...
3 Reactions
62 Replies
673 Views
Robert Mugabe made that demand 10 years ago. Last week world leaders gathered in New York for the 81st UN General Assembly, the same fight is still unfinished. Africa has 54 UN member states ...
0 Reactions
3 Replies
35 Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua mradi huo na kuona utekelezaji wake akielekeza maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wananchi wa Mavuji iwe siku Saba tu. Mhe. Aweso akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine. Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Ifike hatua kuwe na elimu juu ya Afya ya Akili haswa mashuleni,kizazi cha great thinker’s kinaenda mlama. Mbaga Jr imagine jitu linaingia jukwaani kutoka huko Mavanga linakuja kwenye jukwaa...
3 Reactions
23 Replies
197 Views
Habari za muda huu wana-JF, Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli. Kama unajiamini yai...
6 Reactions
39 Replies
664 Views
Kuna wale wakaguzi wa kilichopelea. Kwa kila simulizi wanakuja na ushahidi wa kile ulichokisahau: ‘Jamaa ni mtu mwema sana. Napenda anavyojiongeza akisikia shida ya mtu’—ndio lakini ana tatizo...
0 Reactions
2 Replies
53 Views
Malia Elizabeth, mama mwenye umri wa miaka 38 kutoka Florida, nchini Marekani, alikamatwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kingono na mnyama, baada ya mume wake ambaye walikuwa wametengana...
3 Reactions
49 Replies
924 Views
Ukuaji wa huduma za malipo ya kidijitali mitaani ni hatua muhimu kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu (Cashless Economy). Hata hivyo, ili kufikia malengo ya kitaifa ya ujumuishaji wa...
6 Reactions
9 Replies
340 Views
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hayo unaweza kuthibitisha kwa haraka hata kwa kuangalia baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini idadi kubwa ni Wakristo wakiwemo Wasukuma...
2 Reactions
10 Replies
184 Views
Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes...
1 Reactions
8 Replies
92 Views
Heshima kwenu wakuu! Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa... Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza...
39 Reactions
305 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…