Hakuna watu nawachukia kama hawa viumbe wanaoitwa Polisi
Ndo maana mkiingia kwenye anga za wajeshi huwa wanawashughulikia
Wengi ni form four leavers ambao walifeli hawana elimu yoyote kichwan...
Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya...
Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio
Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili...
Kuna watu wengi wanaona sifa kubeza na kutoa dhihaka kwa kuwa kilichotakiwa kutokea 9 Dec haikuwa kama ilivyotarajiwa lakini hawajui kuwa wanachofanya ni kurusha cheche kwenye ghala la petroli na...
Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au...
Na mkiweza pia naomba kujua Maandamano huku Watu wanachoma Moto Mali, Wanaiba na kufanya Fujo yanaitwaje kati ya Maandanano ya Amani na Maandamano ya Kimapinduzi? Nitashukuru sana nikielimishwa...
Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Sabato njema
Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia...
Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur!
Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya...
Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na...
Kwanini polisi wengi ni masikini?Na wakifa huzikwa vijijini?
Kwanini polisi wengi ni masikini kupindukia? Yaani ni masikini sana na pia wengi wao wana maisha magumu pamoja na posho wanazopewa...
Jamii zetu za kiafrika zimeweka mzigo mkubwa sana kwa mwanaume.
Naomba kutambua mchango wenu na kuwapa maua yenu kama ishara ya shukrani.
Shukrani za dhati ziwaendee;
🌹 Wanaume wanaoweka...
Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako.
Na kwa nini ili jambo limeanza leo
Code imeeleweka Sogeeni kanisani kwa Gwajima muda huu hapa neno linatupita
Kama upo Dsm fanya kusogea kanisani kwa Gwajiboy Chaaap
Soon tunaanza ibada tupo wengi
Na kama huwa mnapigiwa nao Simu hizo sasa kwanini huwa hamuwaripoti kunakohusika na badala yake mnakimbilia Mitandaoni kuripoti na kutafuta Huruma na Umaarufu wa Kitoto na Kipuuzi? au huwa...
Habarini za usiku ndugu zangu,
Nimejaribu kupekua ktk mitandao mbalimbali nimeona watu wengi Sana wakishiriki kwa kuchangia hoja na wengi wao nimeona wakikubaliana na haya maandamano, Sasa kwa...
Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini...
Hii siku ni ndefu
Na Sasa Bado ni asubuhi, naona baadhi ya viongozi na machawa wakikejeli gen Z kuwa Kiko wapi?
Hii inaweza kuwa aina mojawapo ya uchochezi
Hata sijui hii serikali wanataka...
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Baada ya Maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.