Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais Samia hapendwi na mamia ya watanzania, ila sasa kinachofanya watu wasitamani maandamano yawepo wakifikiria suala la maslahi. Wengine wakienda kazini wana uhakika wa kukunja laki 5 na...
1 Reactions
12 Replies
405 Views
Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote? Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku...
12 Reactions
25 Replies
904 Views
Hii kauli ya serikali watu wabakie majumbani si rafiki hata kidogo ..Si wakazi wote wa Mji wa Dar Wanamajumba wengine wanaishi na kulala usiku unampukutia ..kwa mfano Bodaboda, wamasai ...
3 Reactions
4 Replies
267 Views
Mtu yeyote anayelipinga Kanisa Katoliki asitumie Biblia, atumie kitu kingine; kwasababu Biblia ni kitabu cha Kanisa katoliki. Historia inadhibitisha hilo kwa sababu Yesu alikuwa haongei na...
10 Reactions
71 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa sayansi watu wote Duniani wametokana na nyani au sokwe mtu (chimpamzee) hivo maisha au uhai ulianzia afrika kisha kusambaa duniani kote. Ila mazingira ndiyo yalifanya kukawa na...
1 Reactions
8 Replies
583 Views
Kwa mujibu wa World of Statistics, Tanzania ipo katika nchi 30 ambazo watu wake hawana furaha zaidi duniani. Tanzania ipo nafasi ya 12 30 Unhappiest countries in the world 1. Afghanistan 🇦🇫 2...
4 Reactions
30 Replies
837 Views
Eze 13:20 SUV [20] Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni kinyume cha hirizi zenu, ambazo kwa hizo mnaziwinda roho za watu kama ndege, nami nitazitoa katika mikono yenu kwa nguvu; nami...
2 Reactions
20 Replies
446 Views
Birth Dates: October 23 – November 21 Element: Water Colors: Deep red, red, rust Nature: Fixed Day: Tuesday Lucky hours: 6:00–7:00 AM and 1:00–2:00 PM (converted from 12–1 Asubuhi and 7–8 Mchana)...
3 Reactions
10 Replies
655 Views
Simbachawene: Maandamno ya Desemba 9 ni haramu, mtandao utazimwa hali ikiwa mbaya. Polisi wafuate sheria wanapokamata mtuhumiwa, hakuna kuvaa kininja Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa . Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa. Au je mamlaka husika wanaona nchi bado...
2 Reactions
2 Replies
293 Views
Njia rahisi ambayo haihitaji nguvu kuwakibili polisi ni kujitenga nao kwa kila kitu kwenye jamii. Jamii ikishikana vizuri ihakikishe hakuna kumuuzia kitu chochote polisi , kama kuna shule binafsi...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito...
6 Reactions
14 Replies
483 Views
Ni kitu wahenga hawaamini macho yao mpaka sasa Kwa ile misemo yao waliyo itunga.
4 Reactions
27 Replies
891 Views
Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa. Ni...
2 Reactions
10 Replies
388 Views
Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Kuelekea kesho huenda huduma za internet nchi zikazimwa hivyo wadau naombeni VPN ya uhakika mapema kabisa.
4 Reactions
29 Replies
895 Views
Sehemu zote zilizotokea October 29 Polisi, wanajeshi na TISS wamejazana wakiwa teyari kumwaga damu. Sasa wasicho kijua kinaweza kuwa yani walipo pangwa sio hapo. Mtakuja kushangaa kesho yakawa...
2 Reactions
17 Replies
540 Views
Kila la heri mtakaokwenda kuandamana kesho, binafsi sitaandamana ila dua zangu kwa wote mtakaoandamana ,mtoke salama na mrejee kwenye familia zenu salama. Kiuhalisia naona ni ngumu kufanikisha...
1 Reactions
6 Replies
192 Views
Mimi sio mtumiaji wa TV ila mtujuze mnaotumia ving'amuzi kuna channel zitakuwa stopped ili kuficha D9. sasa wanaogopa nini.
1 Reactions
7 Replies
281 Views
Tumebakiza masaa machache kuelekea barabarani! Nimejiandaa vya kutosha Maandamano yalopita nilikua na cycle yangu ya watu watano, now tupo watu 17 tunaoaminiana na kila mmoja ashaandaa bango...
7 Reactions
13 Replies
309 Views
Back
Top Bottom