Ulimuswano Mwanaweswe!.
Moja kwa moja kwa mada.
Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania.
Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa...
Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha...
Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
Ninaamini kuwa wapo baadhi ya Watanzania wamekuwa wakifanya mzaha na mamlaka ya raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Dkt Samia tangu alipoingia madarakani, walipoanza kudhibitiwa...
Habari wanajamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada.
Sitaweza kuelezea kwa kina utendaji wake kwa vile Mwenyezimungu bado hajanibariki nafasi hiyo, lakini Nyansaho alikuwa anaogopeka, yaani ni mtu...
Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
Imeoza kwa sababu:
1. Mkurugenzi hana spirit ya Uongozi ndani, japo amekaa sana Tamisemi Kama bunch officer hivyo anashindwa kuwasimamia wasaidizi wake
2.Mkuu wa Idara ya Utumishi (MHRO) ana...
Kwa Sasa tuna hasira na wivu mkubwa, tukishiba ubwabwa kwenye masinia ni kuanza kupinga andiko la TEC
Sasa unalalamika ati kanisa linapata ruzuku nyingi za serikali Sasa unataka serikali wakupe...
Kanisa Katoliki na Tsh Bilioni 19
Kanisa Katoliki ni taasisi tajiri sana duniani, shirika lao moja tu la Opus dei lipo kwenye orodha ya taasisi 10 za kidini tajiri duniani.
Ukichukua utajiri wa...
Haina salamu hiyo.
1. Wanaharati walituaminisha kuwa Magufuli ni zaidi ya Shetani
2. Wanaharakati walituaminisha kuwa Magufuli ndio chanzo Cha matatizo
3. Wanaharakati walituhamasisha Magufuli...
Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya...
Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu.
Nawasilisha.
(1)Uzi wa watoto wazuri worldwide.
Special Thread: Picha za...
Najaribu kuwaza, kuna polisi wanaishi mbali na vituo vyao vya kazi, sasa kipindi kama hiki cha maandamano wanatoboa vipi mpaka kufika vituoni mwao?
Wanapishana vipi na kundi la waandamanaji?
Hizi kashikashi zilizoanza kabla ya wakati wa kampeni, wakati wa kampeni ,baada ya kampeni, maandamano ,kukipambania chama cha mapinduzi nk bila shaka jamaa wameingiza mpunga wa kutosha kupitia...
Wanaokaa nje ya miji zile athari zinazotokana purukushani za maandamano huwa haziwakumbi hata kidogo.
Maswala ya lockdowns , maduka kufungwa ,milio ya risasi, vitu kupanda bei kiholela, wao huwa...
Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari.
Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua...
Kikwete ndiye rais mstaafu pekee aliyebaki hai mpaka sasa , hivyo neno lake kwa namna moja au nyingine lina nguvu
.
Kabla ya uchaguzi, Kikwete alikuwa anaonekana sehemu mbalimbali tena utakuta...
Sina hofu na vijana Gen z
Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia
Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini...
Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja.
Vituo vya polisi kuanzia vidogo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.