Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE...
Eti mnaanza kuwa na mashaka sasa kwamba ambao wamejitenga nao ndio wanahusika.
Sasa kama wamejitenga mnajiogopa na kuanza kuwafata majumbani.
Mnapoelekea naona mnara wa babeli ukifika mwisho.
Kufuatia agizo la watu kupumzika katika siku ya Uhuru jana, Disemba 9, 2025 Christina Mogela maarufu kama Mama wawili ambaye anafanya biashara ya kuuza mihogo kwa muda mrefu amesema kazi yake...
Kwa hiyo serikali itaendelea hadi lini na mpango wa kusimama barabarani, kamatakamata ni na kukagua wananchi. Hii ni dalili tosha wananchi tunadharauliwa sana.
Hivi wakuu ile definition ya...
China imekataa kupokea chips za Nvidia, kampuni maarufu ya Marekani inayotengeneza vifaa vya kompyuta na graphics. Sababu kuu ya hatua hii ni hofu ya usalama inayoletwa na Marekani, ambayo...
Kwa utawala wa Trump suala la vibali vya viza limezidi kuwapa ugumu wale ambao wanaishi kwa kuunga unga USA ambao sio raia.
Nawaonea huruma sana walipo huko hata ikitokea msiba kafa nani...
Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti.
Nchi kama USA...
Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu
Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana
Sisi wengine hakuna...
Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne...
Miongoni mwa mambo yanayoshangaza ni namna wala tende walivyogeuza jambo la mauaji ya wananchi siku ya maandamano kuwa ni vita dhidi ya wagalatia.
Ukisikiliza hotuba za Wagalatia utagundua kuwa...
Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya...
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuadhimisha Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025 hakukufanana na dhana ya uhuru kwa Watanzania kwani Watanzania hawakuwa huru
Kupitia taarifa rasmi ya Makamu...
Unajua ukweli ni uhalisia wa kitu,jambo fulani leo hii nashangaa sana Kwa nini tumekua na mitizamo tofauti juu ya jambo ambalo ni FACT wapo wanaotetea na ku decorate na cover-up ili kupindisha...
Are Gen Z willing to die for their country? Russia's war in Ukraine has forced Berlin to look at ways of boosting its military in case of attack. Sky's Siobhan Robbins speaks to students...
Katika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari...
Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma.
Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI.
Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu...
Wakuu niajee
Hope mko gud!
huu mwaka ni kama umekwisha umefanya nini cha maana? ambacho ukikitazama unajipongeza..
maana wakati tunaanza January kila mtu alikua anasema huu ni mwaka wangu wa...
Jenipher Mgendi N mwimbaji wa Nyimbo za injili Nchini Tanzania amewahi Kutamba an Nyimbo kama Vile Chekundu, Yesu Nibebe;Nipo StudioBaba n.k
Leo anatusimulia Kisa chake kilichotokea Miaka zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.