Gen Z wapo Live huko mtandaoni wanashusha nondo kupitia Live ya "Nuruvazi" ya instagram ukiingia instagram search "Nuruvazi"
Maandamano kesho yapo kama kawaida
Kumbe alikimbilia Singida baada ya...
Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao...
Hapa ingawa ni Mwenza ila hili neno linatumika kwa mtu / watu wanaoshirikiana, unaweza kudhani umeshinda leo na kujiona mshindi, ila ukweli ni kwamba kama mwenzako hajaridhika na kuona kwamba...
Huyu jamaa nilimfahamu katika uzi mmoja Jf Kuna madu alikuwa anamzungumzia hapo nikaaenda moja kwa Moja Instagram katika akaunti yake kufuatilia.
1. Katika kipindi ambacho watu wanaopenda Amani...
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es...
Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina?
Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo...
Kibinafsi sikuunga mkono maandamano ya D9 kwa sababu zifuatazo:
1: Niliamini hakuna atakayeweza kutatua yale yote tuyatakayo ikiwepo samia kujiuzuru.
2: Mfumo uliopo sasa unaipa nguvu CCM...
Watu wa Mpira tuna Kauli yetu isemayo ukiona anayetroti (anayepasha) nje (benchini) ni Kipa basi jua anayetoka pia ni Kipa aliye ndani na wala siyo Mchezaji wa ndani. Hivyo ni matumaini yangu...
Katika hali isiyokawaida, jana baada ya kumuona Simbachawene akiongea, sikutegemea usiku wa kuamkia leo ningerudi kwa taabu nyumbani. Nimefika Buguruni nikakuta watu wanakimbizwa na wanajeshi...
Why do you keep pretending you care about your citizens when you’re busy blocking their access to every place where they could speak freely? If everything is “so perfect,” why are people forced to...
Wakuu kuna mambo yasio elezeka yanayoendelea maishani mwangu, hadi kuchukua uamuzi huu, aiseee, basi tu, wakuu.
Hali ni ngumu katika duka langu na naipenda familia yangu, naona kabisa nitashindwa...
Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano...
Siku yaja hivi karibuni
Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu
Taabu hizo zitatokana...
Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu!
Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za...
Anasema wana zunguka na magari ya kijeshi usiku huu kimya kimya.
Taarifa zaidi ni kuwa hawapigi ving'ora kama huku bara ila wanazunguka kila eneo kutoa taarifa kuwa huko napo wapo.
Niliposoma...
Nahitaji ushauri wa watu wenu ndugu zangu wenye busara.
Ninaishi Canada kwenye nyumba ya serikali (HLM) pamoja na mke wangu na watoto wangu wawili. Baba yangu ana miaka 46. Nilimchukua aishi...
Maadhimisho ya Miaka 64 Uhuru wa Tanganyika Vyombo vya Ulinzi vyatanda barabarani. Serikali yasema haikutoa amri ya watu kukaa ndani. Maandamano yakwama…
Maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa...
Sasa hapa serikali imependeleaje ajira kwa Wakristo katika Mkoa Songwe? na toka lini serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inaajiri kwa uwiano wa kidini? huoni unapanda shida nyingine juu ya...
Naona leo wasanii na baadhi ya watu maarufu imekuwa shangwe kubwa sana kwao na kuwananga raia waziwazi.
Sasa watu kama hao kimsingi sio wa kujibizana nao, suluhisho ni kuwalia buyu mwanzo mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.