Wana haki ya kututeka maana uwezo wao umeshafikia kikomo.
Ukiangalia shida za maji zinazowapata wakazi wa Dar sio kuwatengenezea jengo ndio litasambaza miundo mbinu na utatuzi wa maji.
Hii pesa...
1. Kanisa katoliki halijawahi kuongelea dini yoyote, hata kama ni washindani wao
2. Kanisa katoliki halijitangazi
3. Kanisa katoliki muda wa ibada ni saa 1 hadi 2.
4. Ukiondoka hupigiwa simu...
Baadhi ya Watanzania walifuata mihemko na tabia ya kumwekea Mh Mbowe maneno ya mdomoni kwamba alikuwa aking'ang'ania CHADEMA kwasababu ya maslahi yake binafsi pasipokufahamu ukweli
Mh Mbowe sio...
Kwa kweli sitosahau siku hii nilivyoumbuka julias nyerere international airport
HIi siku kuna watu walinitazama kama gaid wengine kama punda mbeba ngada
Maana nilifika vizur had getin picha...
Msiba wa binadamu ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha hata kama aliefariki humjui. Kwanini? Kwasababu binadamu tofauti na viumbe wengine tumepewa upeo wa kuona uzito wa kuondokewa na binadamu...
Kiti kina tafsiri nyingi lakini majumuisho yake ni
Ukuu
Utawala
Enzi
Mamlaka
Uongozi
Niliwahi kuleta simulizi hapa ya "KITI HAPIGWI" Nitaweka link yake kwenye reply
Ndani ya familia kuna kiti cha...
Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi.
Katika jiji la Mumbai...
Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa...
Nimeumia sana ndani ya moyo wangu.
Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi...
Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada.
Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao.
Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo...
Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.
Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.
wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au...
Muda huu nimekaa sehemu chini ya mti, ghafla naona maji yanadondoka kutoka juu ya mti, yamedondoka kwenye mwili wangu mikononi na kichwani, naangalia juu naona popo mkubwa kumbe alikuwa anakojoa...
Mpaka sasa nahisi dishi langu limeyumba na Chanel hazisomi kabisaa wanawane..
Tangu October 29 na sasa D9 Hadi Leo nimekua nikikesha na kubugia pombe nakunyandua singo mazasi . kwa kifupi nimekua...
UN yatoa wito kwa Mamlaka za Tanzania kutoa taarifa za waliopotea na waliokufa Oktoba 29
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema kuna taarifa za vifo, majeruhi na watu kukamatwa...
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili...
Watu hawa ni adui wa uchumi wetu tusiwape nafasi
1. Mijitu inayojipenyeza kwenye ajira kwa kutumia vyeti feki ili ipate mshahara ambao ndio kodi zetu
2. Mijitu inayoiba twiga na tembo wetu kisha...
Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.