Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliolala usingizi wa milele, nyie mmetangulia na sisi tutafwata sema hatujui siku wala saa.
Ni kweli ndugu zetu wanaondoka kila siku wapo tunaowafahamu na...
Achana na kina mwamposa janjajanja ya mjini hakuna lofoten ila huyu LEMA huenda akawa Nabii asilimia 75% ya mambo ambayo alikwisha sema au atakayosema kuhusu mtu fulani basi bila shaka hutokea...
Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria...
Mwenyeji wa Rombo tarakea hapa ananiambia wakazi wa Tarake, Rongai na maeneo mengine ya Rombo maji ni ya kuunga unga, wakati huo Kuna Bomba kubwa sana linatoa maji kutoka kwenye chem chem za chin...
Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani?
Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
Inatia mashaka sana na hasira hasa kwa ndugu na wanafamilia kwa ujumla, familia haiko huru na mwili wa ndugu yao.
Ndugu wameleta daktari ili afanye vipimo lakini serikali imekataa, kwanini ikatae...
Msomi na Mshauri wa Diplomatic & Military History
Robert Alex Kisunte si msomi wa kawaida; kila somo lake ni safari ya kuelewa nguvu za dunia, mikakati ya kijeshi, na maamuzi ya kidiplomasia...
✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji
Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua...
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka...
Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na...
Baraza la Wazee wa Mila na Desturi mkoani Ruvuma limetangaza uamuzi wa kuisimamisha mvua isinyeshe kuanzia leo Desemba 13, 2025 hadi Desemba 16, 2025, siku ambayo aliyekuwa Mbunge wa Peramiho...
Wakuu,
JamiiForums ni jukwaa la watanzania wote, ambapo ndani yake unapata kila kitu tena kwa ubora na weredi wa hali ya juu ikiwemo habari, burudani, michezo, mapishi, siasa, uchumi, lugha,nk...
DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu
DOGMA ndani ya ukristo
1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika...
Hii ni project ya kimya kimya sana inayouma na kupuliza lakini ukifuatilia posts au habari zao unanusa nia ovu nyuma yake.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sijajua vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa nchi vimejisahau au vimelala. Wakuu kumekua na wimbi kubwa sana la wahamiaji haramu hasa wamalawi, aisee jamaa wametapakaa mitaani sana
Nadhani kwa...
Naangalia taarifa ya habari
Waethiopia 30 wamekamatwa Mabogini Kilimanjaro wakitokea Kenya
Walipoulizwa walisema wanaelekea South Africa
Swali langu ni Moja
Hivi nani anawafadhili Hawa watu...
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikinunua maji kwa Sh 2,000 kwa dumu nikiwa Salasala nimempigia na rafiki yangu yupo Mbezi Beach kwa Komba changamoto ni hiyo hiyo. Hali hii imenifanya nihisi kama...
1️⃣ >Jua kwamba sasa umepata uhuru ambao ukiutumia vibaya basi maisha yako yanaenda kuharibika mara moja. Kuna wengine mmekuwa salama kwa sababu mlikuwa mkiishi kwa wazazi na walezi wenu hivyo...
Mei 2021, msanii wa Kiitaliano Salvatore Garau aliifanya dunia kushangaa baada ya kuuza sanamu isiyokuwepo kabisa, iliyopewa jina “Io Sono” (Mimi Nipo), kwenye mnada wa Art-Rite huko Milan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.