technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,575
- 57,989
Hii barua ina makosa mengi mno ni aibu kwa taifa
Tulia wewe.. Kidhungu kina raha yake.. Me binafsi nimeipenda.Si wangetumia kiswahili tu
Hii barua ina makosa mengi mno ni aibu kwa taifaView attachment 3514181
mbona iko wazi mkuu Tz police ni ....... brainHii barua ina makosa mengi mno ni aibu kwa taifaView attachment 3514181
kama hatujui English je barua inalenga hakina nani?Mimi kwa kuwa nilisoma Sayansi naona barua iko sawa kabisa kwa sababu huwa tuna focus kwenye ujumbe uliokusudiwa na sio kwenye lugha/English
Hata hivyo kilicho hitaji marekebisho kidogo ni hiyo address na wala sio ujumbe....kwa hiyo ujumbe umefika.
Tuache kuwa wajuaji wakati English yenyewe hatuijui......pengine wanaokejeli ni wale waliosoma Kula Lala Faulu (KLF/HKL nk)
nadhani content ndio ilikua muhimu zaidi ya mengine,Hii barua ina makosa mengi mno ni aibu kwa taifaView attachment 3514181
kama hatujui English je barua inalenga hakina nani?
UONGO.polisi wengi ni PhDPolice wengi ni darasa la saba c na form four failures aka walipiga miswaki kama yote
Ndo mmeishiwa namna hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vipi kamanda wenu Habil anasemaje? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii barua ina makosa mengi mno ni aibu kwa taifaView attachment 3514181