Salaam, Shalom!!
INTRODUCTION
(Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3)
MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI.
Mwili una...
Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania:
1. Wasukuma
2. Wanyakyusa
3...
October 29 shule za Msingi na zenyewe zilitakiwa zichomwe moto kama zilivyochomwa Vituo vya mwendo kasi, Shule nyingi za Dar ni mbovu zimechoka sana yani chakavu kama zingechomwa Moto na zenyewe...
Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa...
Vijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa.
Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa.
Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu...
Kweli mpo tayari kufungiwa ndani hadi Christmas?? Kisa harakati za kisiasa?
Aah hapana, mimi binafsi napinga kwa nguvu zangu zote hili jambo kwa siku hiyo.
Hebu tuache sikukuu ipite kwa amani...
Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Desemba 9 darasani, aachiwa kwa dhamana
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (ambaye hajatajwa jina) anadaiwa...
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha.
Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie.
Ukishapangiwa...
Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza.
Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian.
Ukandamizaji wa...
Sasahivi wanaotamba mjini ni wale wenye nyumba zenye visima. Yaani wakati watu wanahangaika na foleni ya madumu wao wanaoga kutwa mara mbili mpaka tatu, wanafua kila siku na wengine hadi maua...
Askari unapandaje daladala za jerojero?? Umeshindwa hata kununua ka IST asee .
Unatoka umepiga zako kumbati unaingia kwenye daladala za kulipia jerojero ni aibu.
Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa.
Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni
Eti labda system. System gani hiyo ya...
Ndani ya jahazi la kusadikika, Lenye uelekeo usiojulikana
Wadada kwa wakaka, wamebaki na bumbuwazi. Nahodha wa chombo hayupo wazi
Ile dira iliyokuwa mezani
Imeponyoka katoa matanga Kashona dera...
Sasa hivi ukiomba safari ya ndege JNIA - KIA kwa ndege za ATC utakutana na ratiba ya ajabu.
Kuna ndege 3 tu: ya saa 11 asubuhi, ya saa 12:40 jioni na ya Saa 3 usiku.
Hakuna tena ndege ya za saa...
Ni hali ya kusikitisha kwamba, licha ya historia yake yenye mafanikio katika elimu, mapenzi makubwa katika elimu, jitihada, uwezo wa kipekee, na mchango mkubwa katika kuzalisha wasomi, Kagera bado...
Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo.
Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA) Sigrada Mligo ametoa wito kwa Serikali kuongeza watendaji wa Mahakama akiwemo Hakimu wa Mahakama ya ardhi, ili kupunguza vifo vya Wananchi kwa kukosa...
Viongozi wanapaswa kutambua ...." TRUTH DOES NOT LOOSE THE BATTLE "
Wasome alama za nyakati.
Ardhi ya Tanzania sasa imejawa na vilio vya watu wengi sana ( walio hai na wasio hai) .
Tafadhali...
Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020.
========================
Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.