Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku hizi ajira/mchongo/biashara ni unajuana na nani? Recommendations tu. Don't dare to go to an interview or apply for a job. Bongo kazi nyiiingi mnafundishana mnafanya. Hakuna Rocket Science...
5 Reactions
8 Replies
338 Views
Wakuu kwema? Nina swali la kwamba; kwanini baadhi ya vyuo vimehairisha mahafali (graduation)mpaka 2026 kwa wanafunzi wote undergraduate na postgraduate na wamemaliza masomo mwaka huu 2025? Mfano...
0 Reactions
10 Replies
452 Views
Nimeingiziwa posho yangu . Haiuhusiani na mshahara wangu halafu mnakata kurejesha deni lenu. Kwanini msifuate mkataba unavyosema kuwa huu mkopo unalipwa na mshahara. Hizi pesa zingine zinawahusu...
4 Reactions
53 Replies
1K Views
Eze 17:24 SUV [24] Na miti yote ya mashamba itajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeushusha chini mti mrefu, na kuuinua mti mfupi, na kuukausha mti mbichi, na kuusitawisha mti mkavu; mimi, BWANA...
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Nguvu za giza (dark forces / evil spiritual forces) zinajumuisha roho chafu, mapepo, wachawi, mizimu ya giza, na mitandao ya kiroho inayotumika kwa madhara. Hapa chini naeleza mfumo wao wa kazi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Adverts Applied 8 Shortlisted 8 Interview Attended 5 Oral Interview Attended 1 Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021...
6 Reactions
15 Replies
538 Views
Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?. Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea. Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na...
1 Reactions
19 Replies
784 Views
Labda mmekufa nyie ila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yuko Gado (mzima) na anaendelea kupiga Kazi, tunamuunga mkono na tunamuombea Kheri katika Maisha yake na...
10 Reactions
40 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Stephen Nindi amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kutumia ipasavyo elimu na ujuzi walioupata katika kuchangia maendeleo ya Sekta...
0 Reactions
6 Replies
272 Views
Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha. Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia. Umeona...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
1 Reactions
6 Replies
256 Views
Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa. Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu. Kwa sasa dunia nzima...
3 Reactions
6 Replies
297 Views
Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari...
4 Reactions
2 Replies
191 Views
Wakulima wenye hasira nchini Ugiriki wanaandamana kutokana na kucheleweshwa kwa fedha za kilimo. Wamepeleka maelfu ya matrekta na malori barabarani, wakizuia barabara kuu katika maeneo mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka...
46 Reactions
319 Replies
14K Views
Nimewaza tu kwa Sauti, hiyo nguvu ya Sauti na influence aliyonayo angetumia kuwatafutia Wana michongo ya kazi huko ulaya lingekua jambo la maana sana Angetafuta namna ya kuwakonekt wenye hizo...
6 Reactions
105 Replies
1K Views
Moja kwa moja.. Kumekuwa na hoja miongoni mwa watu kuwa viongozi wa dini wa Kiislamu hawatetei haki wapo nyuma katika yale yanayoendelea nchini au wamepewa posho . Sasa nataka nichambue na...
10 Reactions
58 Replies
1K Views
Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais. Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8. Nani anaficha ukweli. Hii picha waliotoa angalia
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Hii funika kombe mwana haramu ili azidi kupita naona anapita na watu wengi. Ni nini kinawapa kufunika mpaka kuanza kufunikana wenyewe. Hapa JF tunaweza kuleta mafumbo ili kufikisha ujumbe. Ni...
1 Reactions
3 Replies
295 Views
Ni kweli kuwa kwa miaka Mingi Tanzania ndio grant wa muziki kwa Afrika mashariki, muziki wetu na wasanii wetu umekuwa mkubwa na kushika soko la Afrika Mashariki kwa kasi,wasanii wa hapa nyumbani...
3 Reactions
18 Replies
540 Views
Back
Top Bottom