Hii nchi tutakufa kwa kushangaa.
Geita Gold Mine ni kampuni ya mama ya mgodi, ambayo ni AngloGold Ashanti. Kampuni hii hutoa ripoti za kifedha za jumla, lakini faida ya mgodi wa Geita pekee...
Manaolia vitu kupanda bei mtulie mlinde amani msizue taharuki ndio kwanza serikali sikivu imeanza kazi amani ni bora kuliko kupanda kwa maisha.
Sasa hapo tushushe gharama za maisha alafu amani...
Ziliharibiwa Mali za mafisadi tu,
Mali za kampuni za watu waadilifunhazikuguswa kabisa.
Bakhresa, tajiri namba 1 ana viwanda, magari, majumba na maduka mengi.
Lakini utajiri wake haina makando...
Hii kasumba ipo sana miongoni mwa Watanzania, zamani ilikua ni kwenye vijiwe vya kahawa.
Hatimaye imekua Kansa sugu, taasisi za kidini, vyama vya siasa, vyombo vya ulinzi, viongozi wakubwa wa...
Mwingine Huyu HAPA Anaitwa TenkSon Scratch
Nakuletea Mambo 10 Kuhusu Nyoka Huyu Anayeelekea Kupotea Duniani
👇
👇
(1) Nyoka Huyu Aligundulika Duniani Mnamo Mwaka 1624 Huko Nchini Congo...
Barabara za Kigamboni hazina usimamizi wakati wa kufanya marekebisho. Ni kama vile hakuna usimamizi au mamlaka za TANROAD hazipo Kabisa Kigamboni.
Kipande cha kurekebisha wiki moja kinachukua...
Vidakuzi "Cookies" hufanya kazi ya kukusanya na kufuatilia taarifa zako mtandaoni, mara nyingi bila ya wewe kuona ni data gani zimekusanywa. Lengo lao kuu ni kuboresha na kulenga matangazo...
Vidakuzi ni data zinazokusanywa na tovuti unazotembelea na kuhifadhiwa kwenye kivinjari chako, zikijumuisha taarifa kuhusu shughuli zako kama kurasa ulizotembelea na muda uliokaa kwenye tovuti...
Sio utani wala kupindisha Moderator kuna mda unataka kupindisha ila mtakumbuka haya maneno.
Mtawala ndio analeta chuki ambayo sasa kaingiza kwenye udini kabisa akijua kitamuokoa.
Mimi sipendi...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi.
Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu...
Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa.
Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa.
Kuna muda abiria...
1. Menachem Begin Waziri Mkuu wa Israeli aliwaagiza Mossad wawatoroshe Wayahudi weusi nchini Ethiopia waliokuwa wakiteswa. Wakati huo Israeli na Ethiopia hawakuwa na uhusiano wa kidiplomasia na...
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi...
Mbeya licha ya kuwa na mitaa mingi iliyojengwa hovyo bila mpangilio, lakini mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana
Uzunguni kumepangiliwa vizuri, kuna miti mingi, hata hali ya hewa ya utofauti, na majengo...
2010 kurudi nyuma tarime ilikuwa uwanja wa vita.
Sio majambazi,
Sio vita vya koo,
Sio vikundi vya magenge,
Sio vikundi vya wizi wa ng'ombe,
Sio matukio ya kuachiana hospitali au mochwari.
Kuna...
Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti
Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi...
Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha.
Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka...
Tunajua vile ilivyo kazi kumwambia Panya Road aache Upanya Road wake kwa sababu hawa watu huwa hawana ego kabisa.
Niwaase wazazi au walezi mpeni neno moja tu ili yakimpata yakumpata awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.