Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika haya maisha usifanye makosa ya kulazimisha urafiki, mapenzi au maelewano na mtu. Asiyekuelewa mpige chini utakutana na mtu mnayeendana . Badilisha mtazamo wako na fikra zako
8 Reactions
11 Replies
269 Views
Akizungumza baada ya kutembelea vyanzo vya Ruvu Chini na Juu, Mkuu wa Mkoa Amos Makalla amesema mgao wa Maji umesababishwa na kupungua kwa uzalishaji kunakotokana na ukame. Makalla amesema hali...
3 Reactions
103 Replies
7K Views
https://youtu.be/UTLrEFErVaw Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi...
18 Reactions
155 Replies
9K Views
Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine. Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili...
5 Reactions
20 Replies
577 Views
Kwa makampuni ya kibiashara ambao mlifikiria kumpa ubalozi Wema Sepetu futeni hilo wazo mara moja . Wema watanzania walikuwa wanampenda sana mpaka wakambatiza jina la Tanzania Sweetheart , fan...
7 Reactions
23 Replies
724 Views
Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa.. Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka...
42 Reactions
169 Replies
10K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikiona aina ya taarifa zinazoripotiwa na vyombo vyetu vya habari, hakika hii ni zaidi ya censorship inayofanyika. Inakera na binafsi nmeacha kbsa kufatilia vyombo vyote...
3 Reactions
10 Replies
324 Views
Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Katika siku za karibuni, taarifa zimeibuka kuwa Bandari ya Mombasa, Kenya, imeanza kupokea meli za mizigo ambazo hapo awali zilikuwa zikitia nanga Bandari ya Dar es Salaam. Kwa lugha nyepesi...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nakutakia baraka njema za mwisho wa mwaka BWANA akasimame nawewe Ukainuke mtumishi, Ufanikiwe mtoto mdogo wa MUNGU Ikawe kheri kwako...
13 Reactions
36 Replies
493 Views
WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini...
2 Reactions
3 Replies
277 Views
Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Ili kujilinda dhidi ya utapeli wa ununuzi mtandaoni, zingatia dalili hizi za tahadhari: 1. Bei zisizoeleweka Ofa zinazoonekana kuwa nzuri kupita kiasi, kama punguzo kubwa sana la bei za bidhaa...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu. Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi...
0 Reactions
10 Replies
309 Views
Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia...
3 Reactions
5 Replies
351 Views
Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
M23 ilishatumiwa sana kuhusu inashirikiana na nchi fulani na nchi hiyo ilikana. Sawa hata kukana nayo RSF kule sudani walisema hivyo hivyo. Ila leo RSF imekuwa tishio mpaka nje ya mipaka yake ya...
0 Reactions
9 Replies
307 Views
Well deserved. Mawakili wengi wamefanya vizuri mwaka huu lakini kaka mkubwa Peterki batala amefanya vizuri zaidi. Ukiachilia mbali utetezi mahakamani, kusimamia kesi na kutoa msaada wa kisheria...
3 Reactions
3 Replies
232 Views
Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu. Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora...
15 Reactions
58 Replies
1K Views
Back
Top Bottom