Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka Mkoa wa Morogoro, tunapobeba mizigo gari kubwa haziingii katikati ya mji hivyo inatulazimu kufaurisha mzigo kwa kutumia gari ndogo cha kushangaza tunapofanya hivyo...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo amesema ongezeko la nauli ya Mwendokasi kutoka TZS 750 hadi TZS 1,000 hakuhusiani na matukio ya Oktoba 29, 2025. Pia Soma: KERO...
1 Reactions
7 Replies
280 Views
Toka Desember 2025 viza za china zimekuwa ngumu sana kupatikana Kwa wafanyabiashara na from january US zinakuwa ngumu.....Mwakani Hali itakuwaje?
2 Reactions
3 Replies
202 Views
Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa. Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
2 Reactions
9 Replies
327 Views
Huyu akili kisoda kubebwa kote na sikia ni bingwa wa kuchamba watu ndani ya nchi na nje ya nchi. Baada ya kubebwa mpaka kwa mkono wa damu si kaona yeye ndio amri jeshi mkuu. Kaanza kuwachamba...
3 Reactions
10 Replies
447 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi...
1 Reactions
15 Replies
491 Views
Habari ya wikiendi wadau.. Naomba wale wazoefu na wataalamu wa mambo ya sheria na ndoa wanisaidie katika hili. Hivi kuna uwezekano wa kubadilisha majina katika cheti cha ndoa? Na kama hilo...
1 Reactions
7 Replies
525 Views
Mtu kama masoud kipanya sio wa kumkatisha tamaa. Uganda wametengeneza mabasi ya mwendo kasi na aina tofauti.
0 Reactions
9 Replies
344 Views
Najaribu kuwaza tu, unaweza kugharimu shilingi Ngapi kuanzisha...vijiji vya incubation center kwa ajili ya vijana ambao pale watajifunza mambo kadha wakadha..km vile Technolojia za...
2 Reactions
7 Replies
233 Views
MTU KUMSIKILIZA MCHUNGAJI AU SHEIKHE ZAIDI NI DALILI YA KUKOSA BABA AU KUWA NA BABA DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ndio sababu wewe kijana wa kiume unatakiwa upambane Sana sio...
2 Reactions
7 Replies
923 Views
"INGEKUWA"kama wewe ni Rais wa JMT ungechukua hatua gani kwa Mkurugenzi wa DAWASA kutopatikana kwa maji katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam?
4 Reactions
36 Replies
677 Views
Watu 34 waliohusika kumrushia mawe Rais Hichilema wa Zambia wakati akihutubia huko Chingola wamefikishwa mahakamani kwa kosa la ugaidi. Imeripotiwa na Rise Fm ya Zambia. GenZ muwe mnatuliza mizuka...
1 Reactions
4 Replies
289 Views
Salamu wana JF Hii mada ya vazi la taifa ni miongoni mwa mada zinazoonesha namna gani hatupendi kukubaliana na ukweli wa mambo sisi kama watanzania. Ukweli ni kwamba kama taifa lenye zaidi ya...
0 Reactions
3 Replies
179 Views
Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi...
1 Reactions
5 Replies
276 Views
Kijana John Jay-Z, HUKO Instagram amesimulia, jambo zito, linalo ishi kwenye maisha yake Hadi Leo, baada ya kumaliza elimu yake kipindi hicho. Alijiingiza kwenye kazi ya saidia fundi, anasimulia...
1 Reactions
14 Replies
556 Views
Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo! Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji...
0 Reactions
2 Replies
178 Views
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu...
1 Reactions
5 Replies
190 Views
Ili ni swali la kutaka ufahamu? Je Naibu waziri mkuu mstaafu, Dkt. Dotto Biteko, Bado ana ulinzi kama aliokuwa nao enzi za unaibu uwaziri mkuu? Kama anao mbona Mrema sikumwona nao mpaka anakufa...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Yalikuwa ni kificho ila sasa wakikukosa wewe wanatafuta ndugu,jamaa na marafiki wawe kwenye target yao. CCm sio chama ni chama cha kigaidi tukubari. Kwa sasa wanabajeti ya kulipa watekaji wenye...
3 Reactions
8 Replies
275 Views
Back
Top Bottom