Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji.
Kwa sasa kabla ya kwenda...
TRA Tanzania
Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti.
Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti...
Pamoja na maombi yote mabaya kwa Yericko Nyerere kwamba asipate tuzo za mwandishi Bora wa vitabu afrika kwa mwaka 2025 na kwamba tusimpigie kura, na watu kudhania tuzo inaenda kwingine, katika...
Si vibaya kuuliza
Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama...
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji, maeneo yafuatayo yatapata huduma;
-Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona, Baruti, Msewe...
Tuna tafsiri roho kama moyo na moyo kama roho! Ni makosa makubwa tunafanya...!
Roho si kitu cha kuona kwa macho kusikia kwa masikio wala kushika kwa mikon. Roho haina mfano bali ni jambo la...
Habari zenu wana JF?.
Naomba msaada WA anayejua Yale magari ya nyonya mavi Yako chini ya mamlaka Gani?, na je nikiyahitaji niende ofisi Gani?, na kama Kuna anaye jua bei ya kulipa gari ikija...
Ni muda sahihi wa kujongea vitandani mwetu, nyumbani chumbani ama ugenini kwa ndugu jamaa na marafiki ama nyumba za wageni.
Usiku huu kama ilivyo siku nyingine zozote ama mchana wake kuna mambo...
Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki
Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo...
Mimi ni mkazi wa Kigamboni, na tunakabiliwa na changamoto ya barabara ya kutoka Mjimwema hadi Dege.
Barabara hii ipo karibu na makazi ya watu, na katika ukarabati wa sehemu zilizoharibika, lami...
Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme...
Tuliwaasa acheni proganda zenu za ovyo.
Mzungu hasa Marekani hawezi kuwa mnafiki hata siku 1, yaani huyu USA mwenye sauti kwenye taasisi zote za UN aje adanganye Kwa vikao vyenu vya uchochoroni...
Shalom,
Kati ya Truck Mechanics (ass job) na Electronics ipi bora kwa ngazi ya VETA?
Na ipi inaweza kuwa na muendelezo mzuri hadi kufikia levels za juu? (Specialisation sio lazima diploma ama...
Taarifa zote zinazohusiana na upatikanaji wa huduma ya Internet Tanzania kupitia kampuni ya Starlink zipuuzwe na Serikali pamoja na Wananchi wake
Kampuni ya Starlink inayosimamiwa na Elon Musk...
Inasikitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China?
SIDO mmeshindwa kuunganisha mabati hayo yawe mobile toilets? bado mtadai nyongeza ya Mshahara Mei Mosi?
Moderator unapenda kupangia uzi ila za CCM ofisi za abduli wakisema vipi uwezi kuzifuta naomba usibadilishe chochote.
Nashukuru Mungu kunipa uhai mpaka sasa nilipo kwa wazungu wenzetu wanaacha...
Karasha kuna ajali mbaya sana Costa na gari ya polisi. Kalasha ya mlowo.
Tatizo hawataki kutoa taarifa Kamili wahusika. Au ndo walikuwa kwenye gari?
====
UPDATES; 17 Desemba 2025
=====...
Na nimependa zaidi Kauli yao UN kuwa kilichotokea Tanzania wala hakikuwa HATARI sana bali ni CHANGAMOTO pekee.
Haya HATERS wa Tanzania ya Samia, Serikali na CCM karibuni mtututakene Watu tulio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.