Serikali imesema imeweka mikakati madhubuti ya kudhibiti unyanyasaji na kulinda haki za Watanzania wanaokwenda kufanya kazi nje ya nchi, hususan katika nchi za Kiarabu, kwa kuimarisha usimamizi wa...
Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa.
Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu...
Baada ya kuona uteuzi wa kadogosa , nimejiuliza hivi huku wilayani na vijjijini Kuna shida gani,Tangu nimezaliwa Hadi nafika umri huu ,sijawahi kuona mbena,mkinga, mhehe nk anaishi jombe kateuliwa...
NIMEPIGA SHIDA SANA
Kuna kipindi kwenye maisha ambacho mtu anafika mahali anaishi siku moja baada ya nyingine. Si kwa sababu hana ndoto, bali kwa sababu safari imemfundisha kutembea taratibu...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) unapenda kuutaarifu umma kuwa Msajili wa Kampuni ametoa Notisi ya Mwisho ya Nia ya Kufuta Kampuni katika Daftari la Msajili, kwa mujibu wa kifungu...
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.
Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi...
Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji...
Leo nimeingia mahala fulani kuna mbu wengi sana, sijaweka na wala situmiagi neti wala kupuliza sumu.
Nimetumia mbinu ya kisaikolojia kupambana nao, huwezi amini mkuu yani wanalia kwa huruma...
Hii nchi ingekuwa inaongozwa na Lowasa tungekuwa mbali sana .
Cha ajabu Lowasa tumemkataa mpaka anaingia kaburini.
Dhahabu nyingine tuliyo nayo ni Mh Tundu Antpas Lissu , hii ni tunu tuliyo nayo...
Sekta ya uvuvi nchini Tanzania imeendelea kukua, huku mauzo ya bidhaa za uvuvi nje ya nchi yakiongezeka kwa asilimia 41, hatua inayoiweka sekta hiyo kwenye mwelekeo wa kufikia takribani dola...
⚠️ ANGALIZO LA MWANDISHI (DISCLAIMER)
Makala hii ni kazi ya sanaa ya kubuni (Fiction Story/Creative Writing). Mtunzi amebuni majina ya wahusika, matukio, na maeneo (ikiwemo nchi ya kufikirika ya...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Septemba 28, 2026, amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin...
Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi...
KIGOGO HUWEZA KUWA MTU YEYOTE WA MAANA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Leo katika pitapita zangu mtandaoni niliona Tangazo linalotoa fursa kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa mtu ajiitaye...
Kaka, kuna kitu umeniandikia leo kimenigusa sana, hiyo ishu ya kuwa karibu na marafiki kwamba rafiki yako ndiyo kila kitu, mimi imenikuta na naumia mpaka sasa sijui kwanini siku zote sikushtuka...
Chakula ni ibada kamili, kisichezewe, kisitupwe, kisiharibiwe.
Chakula ni mojawapo ya mambo ambayo huileta familia pamoja na kujumuika wote, ni sehemu ambapo hufanyika sala na dua ya shukrani...
Tanzania yavutia Wawekezaji kutoka Marekani Miradi ya LNG,Mahenge Graphite na Kabange Nickel
Miradi ya kimkakati ya LNG, Mahenge Graphite na Kabanga Nickel inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka...