Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,755
- 9,706
Leo nimeingia mahala fulani kuna mbu wengi sana, sijaweka na wala situmiagi neti wala kupuliza sumu.
Nimetumia mbinu ya kisaikolojia kupambana nao, huwezi amini mkuu yani wanalia kwa huruma hawaamini macho yao kmmk zao.
Nimetumia mbinu ya kisaikolojia kupambana nao, huwezi amini mkuu yani wanalia kwa huruma hawaamini macho yao kmmk zao.