Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Yesu akasema, ‘Waacheni watoto wadogo, wasiwazuie kuja kwangu; maana waliumbwa kwa namna hiyo Mungu anawatawala.” Fikiria Watoto hawa walikua hawakubatizwa. Hawakumwamini mwokozi aliyesulubiwa...
1 Reactions
33 Replies
560 Views
Akiwa anazungumza hivi karibuni content creator kutokea Kenya Cassypool amesema: "Lazima tuketi tuongee umuhimu wa amani kwenye kanda la Afrika Mashariki ni juhudi zetu kwa pamoja kuongea na...
1 Reactions
4 Replies
201 Views
Automatically upinzani umejifuta wenyewe. Kitendo cha wapinzani kuleta vurugu kwa makusudi kisha waishitaki nchi nje wapate kusaidiwa kuitoa CCM madarakani ni kama vile mtu ashike kisu kwenye...
1 Reactions
2 Replies
200 Views
Azam Media Group inalaani vikali matukio yaliyojitokeza leo katika Uwanja wa Dandora, jijini Nairobi, Kenya, wakati wa matangazo ya moja kwa moja ya mechi kati ya Nairobi United FC dhidi ya Gor...
3 Reactions
13 Replies
499 Views
Unafahamu sio nchi zote husherekea Sikukuu ya Krismasi Desemba 25? Wakristo wengi wa Madhehebu ya 'Orthodox' nchini Urusi, Ulaya ya Mashariki pamoja na nchi zilizopo Mashariki ya Kati...
3 Reactions
4 Replies
271 Views
Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Sikiliza sasa… JKT ile ya Mwalimu haikufa, hapana. Ile taasisi ya kujenga taifa - iliwekwa chumba cha giza, ikafungwa taa, halafu ikafunikwa shuka ili ionekane imekufa. Lakini bado inavuta pumzi...
2 Reactions
1 Replies
168 Views
Siyo lazima Kila kitu kianzishwe na wazungu tu la hasha hata sisi tunaweza kukianzisha na Bado kikawa sawa. Chukulia mfano hizi taasisi za kifedha tunazichangia Kila siku iendayo Kwa Mungu mapesa...
3 Reactions
4 Replies
187 Views
Wapendwa naomba mnisaidie mawazo ya Nini nifanye ili niweze kupewa passport yangu,inazaidi ya mwezi sasa yangu niombe,na uhamiaji wanataka nipeleke barua kutoka kazini kwangu,Jambo ambalo ni gumu...
1 Reactions
3 Replies
315 Views
Herini ya Sikukuu ya Noeli wale wote wanaosherekea siku hii nzuri ya kuzaliwa kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo. Ni mwendelezo wa kauli za kibaguzi zenye mlengo wa kuibua chokochoko za kidini ila...
1 Reactions
7 Replies
242 Views
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Vijana wenzangu pambaneni bila kukataa tamaa hakika inawezekana, niliacha kazi ya kuajiriwa mwaka 2016, Nilipitia magumu, lakini sikukataa tamaa Hakika safari ilikua ndefu sana,yenye Kila aina ya...
5 Reactions
7 Replies
174 Views
Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu...
1 Reactions
0 Replies
118 Views
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi Uzuri nakula bia na nyamaa Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu Jana...
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Msimu wa Christmas huwa ni mvua Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
2 Reactions
12 Replies
357 Views
Habari JF members Nimeona leo nielezee tabia ya kukurupuka ilivyonipa hasara mara kadhaa. Nimejifanyia tathmini nkagundua huwa nikitaka kufanya jambo lolote huwa napenda nilifanikishe kwa haraka...
23 Reactions
42 Replies
1K Views
Yesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya •tuache matendo mabaya, •tulipe Kodi, •tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI •tuache uchonganishi na upotoshaji...
0 Reactions
20 Replies
281 Views
Baada ya kifo cha Mtume katika vitabu vya historia na riwaya, kumeandikwa kwamba Sayyidina Talha bin Ubaydillah ( mmoja wa Maswahaba kumi waliobashiriwa Peponi ) alitajwa kuwa aliwahi kutamani...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…