Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.
Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu...
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi...
Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa...
Nilianza mwezi WA kwanza 2023 na nilimaliza mwakan2024 mwezi wa9.
Nilikuwa nimeplan sitajenga Kwa PESA ya biashara nitajenge Kwa kubeti.
Safari ilikuwa ngumu ila nilimaanisha, nilichikua 500k...
Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi...
Wakuu niajee
happy new year
Tarehe moja kuna mzee aliniomba ushauri afanye nini, story iko hivi, huyo mzee alinipigia simu akaniambia aise naomba ushauri bana kwenye hili swala langu ambalo...
Kuna wapuuzi wanadhani hatuna akili kama wao. Tunapolalamikia ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala mbovu usiofuata misingi ya sheria, ubadhilifu wa mali za umma, rushwa, utekaji na mauaji ya...
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono...
Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi...
Ulishawahi kuchezeshwa karata tatu? [emoji24], kamwe hushindi yani utaishia kutapeliwa. Michezo yote ya kubahatisha na kamari za aina zote haina tofauti na karata 3, Uzuri wao hawa ni kwamba wao...
Kwanza kabisa Intorverts wana tabia zao za kipekee, wasichanganywe na wakimya au wapole, hayo ni makundi mengine.
Introvert anafurahi zaidi akiwa peke yake ila haimaanishi hawezi kujimix...
Mimi ni mmoja wa Watanzania waliopata bahati ya kutembea nchi mbalimbali, hasa katika bara la Asia na baadaye Ulaya. Kwa Africa sijawahi kutembea nchi yoyote tofauti na kuzaliwa na kukulia...
Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi.
Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini.
Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.