Hebu angalia muonekano wake kuanzia kiunoni hadi kifuani tumbo limekaa square ⬛ kama dumu la Lita 20 hapa akipokelewa Uwanja wa ndege Chakechake Pemba.
Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao.
Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na...
Waislamu 12 walioshinda kesi dhidi ya Baraza la Waislamu nchini (BAKWATA) wamesema kuwa Mufti Mkuu hapaswi kuteuliwa na taasisi moja pekee kama ilivyo kwa sasa, ambapo uteuzi unafanywa na BAKWATA...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii wa TikTok ikidai Msanii wa muziki Shilole kupata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa...
Tuna Mito, Maziwa lakini Maji safi hatuna lohhh Majangaa kweli nchi yetu.
Ni jambo la Aibu tangu tupate uhuru ni zaidi ya miaka 60 bado Wananchi wanahangaika kupata maji safi?
Wakati idara na...
The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi...
It's not magic ni technology we unazan kumtumia mtu picha ni harmless but hapn serikali au H4CK3RS WANAWEZA kujua ulipo Kwa picha tyuuuuu
Fanya hivi
1. Mtu akisha piga picha pale H4CK3RS...
Tulitangaziwa mgawo wa maji toka mwezi wa 10 chanzo kikubwa kikiwa ni upungufu wa maji katika mto Ruvu. Cha ajabu na kushangaza ni kuwa Mto Ruvu hivi sasa umejaa maji mpaka juu kutokana na mvua...
FAFO kumbe ni project ambayo sasa kila ditekta kama mfano wa maduro inakuja kwake.
Wamarekani washasoma mchezo sasa nchi nyingi raia wa nchi za maditekta wanakosa haki na democracy.
Hii project...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.