Trump ametangaza unyakuo dhidi ya viongozi madikteta wanao ibania Marekani kuchota rasilimali, lakini hata wale wanaotesa raia wao huku wakishirikiana na serikali ya Uchina wanaweza kufikiwa na...
Yule malkia mchafu na mvaa mavazi mekundu anayeishi katikati ya ukanda huu mwaka hatoboi
Nawaambia ukweli kabisa, naam namaanisha yule malkia mvaa mavazi mekundu ya damu
Huu mwaka hamalizi...
Ile misheni mpaka maduro anakamatwa ni kwamba walijua ramani ya jengo mpaka stoo ya kuweka chawa wakiwa wanawaponda wapinzani.
Kwa kiwango kile lazima kibadilishe mshituo wa mbinu nyengine kwa...
Sijajua kama Mange Kimambi ana uraia wa USA au la ,lakini hata kama ana residence ya kudumu, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu wa serikali ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambe akiamua kuja...
Mwaka 2025 Putin alifika USA ila baada ya kupewa heshima za kijeshi na kuongozana naye mara Putin anaona dege la B-2 likipitishwa makusudi na Trump alikuwa anamkumbusha kule Iran.
😁" Who are you...
Huyu jamaa ni kama Lucas Mwashamba wa bei ya jioni
Hivi toka ameanza kujipendekeza kwa watawala ashawahi kupata nini?
Nauliza tu kwasababu kila baya la serikali likiibuka basi atatoka na uzi wa...
Wakuu,
Heri ya mwaka mpya. Kwa ufupi nime experience jambo hili kwa familia chache lakini nimetafiti hata kwenye imani hizi kubwa na za asili. Usifanye kosa la kuji disconnect na ardhi ya kwenu...
Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani.
Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao.
Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza...
Opera min nikampuni kubwa ya matangazo na habari kama ni mtumiaji wa simu kwa muda mrefu utakuwa umewahi kuwa na app ya opera , Opera min pay ni app yao ya kutuma na kupokea pesa kama ilivyo...
Wakuu kheri ya mwaka mpya.
Naam kwakweli kila maendele yamekuwa na changamoto leo hii Mbagala inakua kwa kasi sana kwa wafanyabiashara kuwekeza pesa zao kutoka na kuongezeka kwa watu na kushamiri...
Habari za Mihangaiko..
Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo
Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula...
Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda.
Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imechukua hatua za haraka kuboresha hali ya kihuduma katika baadhi ya maeneo kufuatia taarifa za uwepo wa Maji yenye muonekano...
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nikaingia page ya Millard Ayo kuangalia post za hizi siku mbili tatu. Aisee watu mnamchukia Samia sio poa, yani watu wanakasirika kabisa kuona habari za Samia...
Wamerekani wamekuwa wakionesha Dunia kuwa Hesabu ndio kila kitu Jeshini kwani 100% ya maamuzi yanayofanyika jeshini/vitani ni Hesabu & Physics
Mfano:
1. Kurushusha mabomu ni hesabu kwa huku...
1. Wakati wamarekani wamemteka Maduro kama kuku, jeshi la polisi Tanzania wiki chache zilizopita lilifanikiwa kumtia mbaroni mwanajeshi wa Marekani tena akiwa na silaha na Trump ameogopa kuongea...
Shehe anasema kaeni mbaali na mwaka mpya ni sherehe ya makafiri na mwaka wa makafiri ila vyeti vyake vya kuzaliwa vina mwaka wa kikafiri Tarehe anatumia za kikafiri
Waislam tukifa makaburi yetu...
Dikteta ni nini/nani. ni mfumo ambapo kikundi cha watu wachache au mmoja wanatawala nchi kwa mtutu, wakiwa juu ya sheria, wakiua watawaliwa, kuteka, kubaka na hata kunyanganya mali za watu.
Sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.