Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuutarifu Umma kusitishwa kwa safari za treni ya SGR kwa muda kuanzia tarehe 31 Disemba 2025 kati ya Morogoro – Dodoma na Dodoma – Morogoro kutokana na...
Kwa wale ambao hawajawahi kufuatilia maendeleo ya Nchi tofauti tofauti za Africa
Nafikiriki kupitia AFCON inayo endelea kwa sasa, wameweza kupata picha Morocco ni kama Ulaya.
Pamoja na kuwa na...
Nawasalimu,
Salamu za heshima,
Karibu msomaji mpendwa. Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kukupeleka katika safari ya mawazo na historia, kukutafakari nafasi ya binadamu katika jamii na namna...
WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution
Leo bhn kuna mtu kanifata kaniambia jamaika nisaidie me mtu wa nyumba nyingi alfu wanapenda kukagua simu nifanyaje kublock jau nitashtukiwa...
Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na...
Salaam, Shalom!
Mungu alipomuumba Mwanadamu, aliweka nguvu ya uumbaji ndani yake, ameweka pia mamlaka Katika kinywa kuumba, na kufisha pia KUPITIA kinywa. Tumia kinywa chako kusemesha magonjwa...
Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi:
https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/
ukwel ni kwamba katika ujana...
Pole sana Dada Lucy, Dada Germana, Dada Dokta Grace, David (Pandi) na Kibibi (Tausi) bila Kumsahau Mpwa Mwandishi wa Habari Edward Qorro (wa Daily News) kwa kumpoteza Mama na Shangazi baada ya pia...
Hii kauli imefanya watu washindwe kujitafajari pale wanapopoteza kwa kujifariji kuwa HAIKUWA RIDHIKI .
Inaweza kuwa ni ridhiki yako ndio lakini ukaipoteza kwa ujinga au tabia zako na kwa sababu...
Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau,
Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani
ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi...
Mimi miaka yote wala si mchapa kazi. Wala sina bidii. Sijawahi kukesha hata wakati nasoma. Nlifaulu. Na sikuwa na bidii... Ntakudanganya nikisema hivyo.
Nliajiriwa Serikalini miaka ya 90s...
Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni...
Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki.
Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja...
Tanzania maji yametushinda, umeme nao ni tatizo sugu, miradi mingi imekufa kifo cha mende.
Hii uranium ambayo majigambo yenu mnasema mabeberu wanaonea wivu.
Mtaweza kuendesha na tunavyo wafahamu...
Wasalamu.
Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.
Natamani kujiua ila naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.