Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous (9a81)
Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za...
1 Reactions
3 Replies
326 Views
wapendwa, kichwa cha habari chahusika. tafadhali naomba msaada wa maelekezo wapi naweza pata vitabu hivyo vya kizamani. navi-miss sana. pia nimefurahi kuwa kwa mara ya kwanza nimeweza kuposti...
0 Reactions
36 Replies
21K Views
Nimekuwa nikifuatilia haya mambo ya sherehe za Kitaifa lakini ni kama kumekuwa na ubaguzi wa waziwazi Siku za hivi karibuni,Sherehe zote zinazo ihusu Tanganyika ni kama zinawekwa pending kwa...
2 Reactions
2 Replies
260 Views
Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Hii foleni ya leo usipime Kwa mnaotokea njia ya Goba Makongo hadi Mlimani city Na pia mnaotokea Ubungo hadi Mwenge Foleni ni kubwa sana na haisogei Kama una uharaka panda pikipiki Kama una...
5 Reactions
10 Replies
212 Views
Hii SGR tulipigwa za uso tena uso wa amani. Ukiangalia kenya SGR yao inapopita maeneo kama vijijini,porini kutokana na jeografia ardhi na vilivyomo kuna sehemu unaona ni mwendo wa daraja refu...
3 Reactions
6 Replies
216 Views
Poleni kwa lawama taifa star kukishindwa. Sasa nika rudi kwenye television na maredio kila tangazo kina sema shule imeshika nafasi nzuri kitaifa mara college hii ajira ukimaliza unapata. Haya...
0 Reactions
3 Replies
159 Views
  • Redirect
Mnakumbuka hii script ya tukio ambalo mpaka leo unaweza kuuliza kesi yake ukaunganishwa wewe wakati muhusika mwenyewe ndio huyu. Upande Kulia kwenye picha kuna miwani hapo kaweka mezani. angalia...
2 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu huwa na pata ukakasi sana kwenye uumbaji wa Mungu. Kwanza maandiko yanasema "Mwanzo 1:2 [2]Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya...
1 Reactions
5 Replies
223 Views
Habarini wakuu,swali langu ni kutaka kujua Roma wanajenga kitu gani maeneo ya makurunge wana eka mia moja Na unaingilia pale kiluvya,najua humu kuna wajuzi zaidi yangu mtanisaidia kwa Hilo.
-1 Reactions
171 Replies
27K Views
  • Redirect
Nukuu toka kwa wakili madereka:REFA wa leo HANA tofauti na INEC 😂😂. There is NO DIFFERENCE between AFRICAN POLITICAL ELECTION and AFRICAN FOOTBALL REFEREEING. Poleni mnaopenda AMANI bila...
7 Reactions
– Replies
– Views
Alishawaita shitholes kantre Kwahiyo msitegemee aje kuwafurahisha wanaharakati uchwara mnaombea ndoto za chooni. Kwa Trump, kama huna hela hana muda na wewe Muda sio mrefu Trump amaesema anaitaka...
2 Reactions
4 Replies
332 Views
Kwanza niwape pole wana saranga Kibamba. Mungu awasaidie mfike mbingun bila maswali. Leo nilienda kumchukua mke wa bro anakaribia kujifungua akae karibu na home yeye yuko huko Congo Ile barabara...
0 Reactions
2 Replies
178 Views
Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari. Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China...
6 Reactions
9 Replies
264 Views
  • Redirect
Utasemaje umeonewa na Wala hujafunga hata la kukataliwa Asante sana pesa zimepina ziende kuhudumia wananchi.
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Kila kitu kilikuwa sahihi. Kama uchaguzi uliopita. Refa alikuwa huru na VAR ilikuwa huru. Maamuzi yametoka mshindi ni Morocco.
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Siamini nchi ambayo ina jeshi la sita duniani kwa ubora kushindwa kumsaidia Venezuela. Yaani tulivyo imara kwenye kuvunja matofali tumeshindwa kuwasaidia wajamaa wenzetu? Naskia huko uvccm...
1 Reactions
10 Replies
160 Views
Back
Top Bottom