Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah.
Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi?
Aidha ameongeza kusema kuwa hata zile bikira zitakuwa zinarudi kila...
Habari wanaBodi
Watanzania bado tukiwa katika sintofahamu juu ya wanafunzi 7000+ waliofukuzwa chuo cha UDOM siyo vibaya tukaangalia namna gani HAKI inavyoweza kutendeka bila upendeleo wowote kwa...
Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga.
Huku...
5 January 2026
Jimbo la Ole limeandika ukurasa mpya wa maendeleo kufuatia kuanza rasmi kwa utekelezaji wa ujenzi wa Daraja la Kwapeza, mradi muhimu unaounganisha Shehia ya Ole na Vikunguni...
Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu...
Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
Sitaki Uzi huu uwe wa kidini, Na Wala sikusema hakuna Wakatoliki wenye Majina hayo.
Bali uchunguzi wetu unaonyesha kwamba baadhi walioandama wana Majina hayo.
Swali letu ni Hili, Je hawa nao...
Ni kipindi cha Magufuli ambacho askari ndo kabisa hawakuthubutu kupanda vyeo.
Jeshi la polisi ndio wahanga nambari 1. Libaba la miaka 50 unamwona yupo kituoni na V mbili au shati tupu hana cheo...
Habari zenu wana JF...!!
Nahitaji msaada wa kupata Mawasiliano ya mtu anae husika na Baraza hilo tajwa hapo juu, kama nitampata Muhusika moja kwa Moja kutokea hapa nitashukuru pia.
Mawasiliano...
Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus...
Walae wakatoliki 100 wa mchongo kutoka buza kwa lulenge , hatimae wameonekana wakiimba mapambio ya Yesu ndio mwamba huku nyuso zao zikionyesha wasiwasi mkuu. Lakini pia kulisikika sauti...
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa
Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.
Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali...
Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii .
Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka...
1: Kuruhusu mgeni alale na mtoto wako mdogo chumba au kitanda kimoja
2: Kuwabania vikali mabinti katika mikusanyiko ya kila siku ya maisha, hii imetengeneza vijana wengi machapati mikoa ya pwani...
Mtoto Nicholaus Nkinga (9) ambaye changamoto yake ya matibabu ya mguu iliyomgusa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kupata matibabu ya kibingwa...
DJ Bonny Luv(kushoto) akiwa na Ahmir Khalib Thompson aka QuestLove Drumer kutoka kundi la The Roots.QuestLove ni DJ,Producer,mwandishi wa muziki nk.Miongoni mwa artist maarufu ambao amewahi...
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.