Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni...
Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu.
Sisi wananchi wa...
Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua
Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.
Hii hii reli itahimiri hali ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kitendo cha Walimu na Wanafunzi kutumia choo kimoja shuleni ni uzembe wa wazi, akisisitiza kuwa hakuna Halmashauri nchini...
I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu.
Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko...
Kuna jamaa yangu alikuwa Kila mkikaa kuongea stori zake yeye ni kwanini Mungu anamuweka hai na hufika mbali akisikia mtu kafa humlaumu Mungu Kwanini si yeye.
Mwisho wa siku jamaa yangu alijiua...
Mioyo inakata, maumivu makali mno kwa wapinzani na Wafuasi wa Mange kama kuona nchi hii imetulia.
Wanateseka sana. Nawashauri ni heri waamue tu kumpenda Rais Samia ili waishi kwa amani wasife kwa...
Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia akiwamo mtumishi wa Wizara ya Maji, Rochi Mkolekuwa (39), baada ya nyumba kuteketea kwa moto Mtaa wa Nyarusrya, Manispaa ya Musoma, Mkoa wa Mara...
Ninaungana na jamaa mmoja humu aliyesema kuwa vijana wanaowachukia viongozi hawana sababu za maana.
Wamerithi tabia za kichawi za wazee wao kijijini enzi hizo waliokuwa wanaroga wanaojenga nyumba...
Nimekuta vijana wanaumia huku Kibaha viwandani, msingi kuchimba elfu 5
Hivi hii nchi ni ya watanzania au ya wachina maana watu wanapigika kisawasawa vijana wamekata tamaa ya maisha.
Nimeishia...
Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali
Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani
Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda...
Msanii wa muziki Shilole amepata ajali ya gari akiwa njiani kurejea Dodoma kutoka mkoani Kigoma, alikokuwa ameshiriki katika shughuli ya kijamii iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini...
Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na...
Jina la Mungu lenye herufi nane.
Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת
Katika lugha ya asili.
Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika
Urithi.
Kutokuharibika...
Mwezi Julai 2025 ndipo ahadi ya Serikali kuwalipa mafao wastaafu wa jeshi waliopigana vita ya kagera.
Taratibu za kuwakusanya wazee hao zolifanyika uku wakitoka sehemu mbali mbali za nchi na...
JF hebu tusaidieni kuhoji… DSM hapa train haijaondoka toka saa 12 asubuhi leo tar 28.12.2025.. Kwanini hakuna accountability kwa kueleza wateja/abiria nini kimejiri na tatizo litatatuliwa baada ya...
Kwenye Mji wetu wa Bukoba Mkoani Kagera Uongozi wa Mkoa ulitangaza kuhamisha makaburi ya Kishenge ili kujenga kitega uchumi, lakini sasa eneo hilo limegeuka kama ‘dili’ la ushirikiana.
Walitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.