Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huko mitandaoni watu wameanza kuwatambua wapendwa wao kutoka katika kile kikundi cha wakatoliki 100 waliokuwa katika maandamano. Mtu wakwanza kabisa kutambuliwa ni Bi kidawa Salum ,mkazi wa...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha...
1 Reactions
3 Replies
167 Views
Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam mhashamu Thadeus Ruwa'ichi anasema "Mvivu ni kichaka cha shetani, Usikubali kuwa kichaka cha shetani, hebu uwe nyumba ya neema, nyumba ya baraka...
1 Reactions
1 Replies
310 Views
Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza...
1 Reactions
6 Replies
210 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia...
4 Reactions
6 Replies
415 Views
Hivi karibuni serikali ya Rais Donald Trump ilitangaza orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanawekewa vizuizi vya kuingia Marekani. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inasema orodha hiyo...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa...
8 Reactions
6 Replies
266 Views
Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru...
9 Reactions
11 Replies
435 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
  • Redirect
Lakini leo nitayasema kwa uchache kwa nia ya kujenga na wala sikusudii kuhamasisha uzinzi wala biashara hiyo 1. Usiende na nguo ambazo unazitumia katika shughuli zako za uzalishaji, iwe ni kazi...
5 Reactions
– Replies
– Views
Kiongozi mwenye busara analinda Wanachama wake lakini kiongozi asiyekuwa na hekima Wanachama wake watapoteza uhai Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza...
3 Reactions
174 Replies
2K Views
Hapa wanaJF tujuzane tu maana tumeshatambua wale wakatoliki wa kuchaji na power bank sio wakatoliki. Ila ujaona polisi kuwagusa wala kuwepo. Ujaona tamko lolote la polisi kusema walipewa kibari...
3 Reactions
4 Replies
204 Views
Kukosekana kwa huduma ya maji katika maeneo ya Nyegezi na viunga vyake kumegeuka kuwa tatizo sugu na la kudumu, linalojirudia kila mara bila ufumbuzi wa msingi. Tangu sikukuu ya Krismasi hakuna...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Kuanzia katikati ya miaka ya themanini hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 huko mkoani Kigoma aliishi " fundi " mmoja aliye julikana kwa jina la Juma Njemba. Juma Njemba alikuwa MTU hatari sana...
115 Reactions
1K Replies
221K Views
Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Back
Top Bottom