Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam! Kuna hospitali moja hapa mjini, hospitali hii hutibu watu special,wenye nguvu, Kuna baadhi wamewahi kuifananiasha hospitali hii na nyumba ya kuhifadhia wafu, sababu kuu ni kuwa, wachache...
3 Reactions
15 Replies
536 Views
Idara ya fedha Muhimbili mbadilike
2 Reactions
9 Replies
138 Views
Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation. Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe...
2 Reactions
6 Replies
247 Views
Moja ya jambo la kushangaza ni Msanii wa Hip-hop, Izzo Business kuachia kibao akishusha mistari kuwachana wasanii wenzake waliokuwa hawapiganii haki za wananchi badala yao walirundikana kwenye...
6 Reactions
5 Replies
217 Views
Katika kipindi hiki cha Mwisho wa Siri, tunakutana na Lameck Alute kijana aliyekuwa wakala wa kusajili laini za simu. Akiwa na nia ya kusaidia, alimsajilia mteja mmoja asiye na kitambulisho...
3 Reactions
4 Replies
317 Views
Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Londoni ya manispaa ya Songea amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuanzisha utaratibu wa kuwataka wanafunzi kuripoti shule na mifuko mitatu ya saruji...
1 Reactions
2 Replies
179 Views
Ikitumika Kanuni ya kuwapenda na kuwathamini wenzetu kama tunavyojipenda na kujithamini sisi hakika maisha yatakuwa bora Dunia ni moja, nyumba moja ya nini kunyang'anyana fito Hakuna dunia mbili...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Kutoka kwenye jamhuri ya watu wa Facebook Baada ya Taifa stars kunyimwa penalti Hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa Wake Dansa Queen Fraison maarufu Bonge la Dada
9 Reactions
19 Replies
737 Views
Zanzibar wakijiunga na U.A.E bara tutafaidika sana, uwekezaji mkubwa utakaofanywa zenji utatunufaisha bara hasa kibiashara kutokana na close proximity. Kigamboni nayo itadevelop rapidly...
6 Reactions
124 Replies
16K Views
Salaam! Baada tu ya sintofahamu ya Oct 29, pametokea mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa mbalimbali Katika sekta mbalimbali, Leo nitaongelea sekta ya ujenzi. Bei ya kigae Cha size (40"*40") January...
3 Reactions
12 Replies
371 Views
Ugumu zoezi la urejeshaji wa nauli za SGR Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la urejeshaji wa nauli kwa abiria aliyeshindwa kusafiri Desemba 31, 2025 jioni na Januari 1- 2, 2025...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Kwa wale wanaofanya biashara ambazo zipo nje ya sheria ni ngumu sana kumpeleka mwenzake polisi au mahakamani kisa kamzulumu. Kwa uchafu wa CCM wa serikali ya Samia ni ngumu samia na wenzake wote...
4 Reactions
3 Replies
217 Views
Yani leo ITV habari inasema kule Arusha imesahidia watu majiko ya kuni alafu juzi walisema Samuya kasambaza mitungi ya gesi. Nilipenda sana kushinda nyumbani mapema ila bora niwe kwenye ofisi sio...
3 Reactions
8 Replies
272 Views
2026, Musk anakaribia dollar trillon 1 katika utajiri ila sisi tangu waganga wa mababu zetu umetufikisha wapi? Oh nilikuwa nimerogwa sijielewi akaniponesha, hivi wewe unaelewa afya ya akili...
13 Reactions
72 Replies
1K Views
Siku chache baada ya JamiiForums kuripoti juu ya Shule ya Msingi ya Mlembea Wilayani Rombo kuandikisha Wanafunzi Watatu pekee wa Darasa la Kwanza, baadhi ya Wananchi wamedai moja ya changamoto...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimecheka sana uvccm wanavijana hawawezi tamka petition wanataka petrol station? Sasa mkitaka Kuona vioja na mcheke mfe yule bint ni mdaiwa sugu wa mikopo ya asilimia kumi wilaya ya dovya;😂🤣😂🤣😂🤣
5 Reactions
5 Replies
264 Views
Kuna wanangu wa Siloamu Lile kanisa hawaruhusu hata kutoa damu na wanakupa jina jipya Kuna mwanangu alikuwa anaitwa Alex alipojiunga akabadilishwa jina akaanza kuitwa KIBALI Ile dini...
1 Reactions
4 Replies
157 Views
Anonymous (f7df)
Kuna kero kubwa eneo la Kigamboni, Kata ya Kibada Uvumba limetekelezwa huku pembezoni mwa Bahari usawa wa kutazama Kijichi, linahifadhi vibaka na wavuta bangi pamoja na kuweka mapori manene...
3 Reactions
10 Replies
418 Views
Back
Top Bottom