Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya...
Good morning Tanganyika!
Nimeshindwa kuvumilia baada ya kuona ongezeko la mada za kupinga kuoa, ndoa na maisha ya ndoa! Jamii Forums ni kama kioo cha Taifa kwasasa. Think tank kubwa ya nchi...
UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA.
Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku.
Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio...
Wakuu, hebu tuwekane sawa kidogo. Nimeona video moja mtandaoni huko facebook naamini ilikuwa ya mwishoni mwa mwezi wa nane maana sijatumia facebook muda mrefu kidogo.mtoto mdogo wa kama miaka...
Ni nani mtunzi wa wimbo wa EAC?
PICHANI: Mwl. Samson Kibaso enzi za uhai wake.
Kuanzia 1999 hadi 2010 EAC ilikua ikitafuta wimbo rasmi wa Jumuiya hiyo. Aliyekua Katibu mkuu, Balozi Juma...
Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa...
1. Uwe Mwanachama wa CCM
2. Usilale kitandani
3. Usitumie hela ili zikae
4. Usitoke ndani ya Nyumba yako
5. Lazima uoe mwanamke uliyesoma naye shule moja
6. Lazima ugeuke kuwa chura rais...
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .
Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .
Sasa ili kuenzi hilo...
Maisha yanakwenda kasi sana, huku joto kali sana na bado tunapewa taarifa kuwa kuna El Ninò inakuja, yaani purukushani kibao. Kila mtu anapitia changamoto za maisha kwa namna yake, wapo...
Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi...
1. Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe
2. Dada aliyejitolea kumpa Dudubaya Shilingi Milioni Tatu kama si Tano kila Mwezi kutokana na Kumpenda
3. Matajiri akina Jayrutty kuahidi Kumchangia faini yake...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wilayani Ukerewe kumekuwepo na wimbi kubwa na wizi wa kuvunja maduka na vibaka mitaani hasa usiku.
Hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la watu kuvunja maduka na...
Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Serikali ya Qatar kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia ya kisasa na nishati safi katika mifumo ya...
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akikabidhi tuzo ya Mdamini Mkuu wa Malkia wa Madini kwa Mkuu wa Kitengo cha Uendelezaji Biashara Changa na Ujumuishaji wa Kifedha, Ndugu, Fadhili...
Benki ya Exim Tanzania imeungana na viongozi wa taasisi, wafanyabiashara, washirika na wadau mbalimbali katika CEO Golf Day 2026, hafla iliyofanyika Septemba 26, 2026 katika Sea Cliff Golf Club...