Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc eneo la Kawe na Bagamoyo Naomi Kasera (kulia) akikabidhi Kapu kwa Mzazi Fransisca Mosha (kushoto) na Mwanafunzi wa shule ya msingi Bunju A, Njma Juma...
1 Reactions
2 Replies
163 Views
  • Redirect
Mama mmoja huko Mara ametuma salamu kwa Samia akidai kuwa mwanae aliuawa October 29 alipoenda Dar katika harakati za kutafuta maisha. Mtoto wake alitoka Mara na kwenda Dar kufanya kazi ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwanza nakupa pongezi raisi wangu Kwa kutoyumbishwa na watu ambao hawaitakii mema nchi yetu Kwa hili nakupingeza sana. Umetufanyia mambo mengi sana mazuri mpaka Sasa nchi imetulia na uchumi wetu...
1 Reactions
6 Replies
220 Views
Kuna huyu kijana anakuja kwa kasi kwenye kuleta contents za ukabaji, usela mavi nk. 99% jamaa ni mwizi kweli, hii ni zaidi ya uigizaji, waigizaji wanajulikana na vibaka asilia wanajulikana...
2 Reactions
10 Replies
218 Views
Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma...
1 Reactions
8 Replies
311 Views
Nimekataa kuwa chawa tangu nikiwa mdogo sana. Biashara ya kusifu na kuabudu mtu nishakataa kitambo mno. Nikiwa Uvccm mtiifa mwaka 2008-2010 Dr Slaa akikiwasha na sharabaro unanionea wa msonga...
3 Reactions
1 Replies
126 Views
WanaJF poleni na mihangaiko ya kutwa! Wale wa mijini hasa Dsm sasaiv wapo kwenye foleni barabarani. Yote maisha. Nimejiuliza hili swala. Maeneo mengi mjini, watu wengi wanamiliki magari licha ya...
14 Reactions
459 Replies
52K Views
Kwa dunia ya sasa madini adimu ni kama mafuta. Karibu teknoloji zote zinayahitaji, hasa hasa magari ya umeme. Kwa Tanzania madini haya yanapatikana hasa huko Songwe. Wachina wamerudi TAZARA sababu...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Project 2025 ni mpango mkubwa wa sera ulioandaliwa na taasisi za kisiasa za kihafidhina nchini Marekani, hususan Heritage Foundation. Lengo kuu la mpango huu ni kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
  • Redirect
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametangaza kuwa ataitisha maandamano ya nchi nzima ikiwa Rais Yoweri Museveni ataiba kura katika uchaguzi mkuu...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project...
4 Reactions
– Replies
– Views
Jiji la Dodoma wametangaza yeyote aliyegawiwa kiwanja, ndani ya muda halisi wa kuendeleza, usipoendeleza, wameanzisha kampeni ya kunyang'anya viwanja hivyo. Wameweka tangazo tayai. Kuna watu...
2 Reactions
5 Replies
393 Views
Serikali imetangaza kuwa Kivuko cha MV Kazi kitaanza rasmi kutoa huduma mchana wa leo Januari 13, 2026 baada ya kukamilika kwa ukarabati wake, hatua inayolenga kurejesha usafiri wa uhakika kwa...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Back
Top Bottom