Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, umewahi kujiuliza kwa nini Biblia inarudia majina ya watu mara kwa mara, kana kwamba kuna mpango wa Mungu uliopangwa tangu mwanzo? 👇 Ukweli huu unaonekana wazi unapofuatilia mlolongo wa...
2 Reactions
3 Replies
195 Views
Najua kwa mliopata A flat na mkaitwa wanasayansi mtasema nina wivu. Mimi primary tena ya kijijini ndani ndani huko darasa letu lilikuwa la pili kumaliza STD 7 nilipata A flat na kupangiwa shule...
2 Reactions
13 Replies
270 Views
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania...
2 Reactions
5 Replies
328 Views
Tuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote. Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya...
4 Reactions
17 Replies
421 Views
Katika historia ya maandiko ya kidini na vitabu vya elimu vilivyoandikwa kwa lengo la kutoa mwongozo wa maisha au kueleza historia ya binadamu, vinatarajiwa kufuata angalau mojawapo ya aina tatu...
10 Reactions
155 Replies
4K Views
Mfano: mambo ya unyakuo wa kupalizwa mbinguni. Kwenda kuchomwa moto, ni nani alisema kwamba adhabu Kali ni kuchomwa moto tu. Habari za mitume kwahiyo toka enzi hizo hakuna binadamu wema au...
1 Reactions
9 Replies
215 Views
Vijana wanaofanya utarajali (internship) huugulia maumivu makali kila mwaka baada ya kulazimika kufanya kazi kila siku kwa miezi miwili hadi mitatu wakiwa mikoani bila kupokea posho zao, Lni...
0 Reactions
2 Replies
141 Views
imani nyingi za Kikristo zinatokana na tafsiri za maandiko badala ya maneno ya moja kwa moja ya Yesu. Kwa mfano, fundisho la Utatu na uungu wa Yesu linatokana na kuunganisha vifungu mbalimbali...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums. Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
11 Reactions
39 Replies
895 Views
Zamani ilikuwa ni usafiri mpaka kwa viongozi kulingana na kaliba.. Na baiskeli ilikuwa usafiri wa kutumainiwa Sana Matoleo maarufu ya enzi hizo yalikuwa Rareigh Phoenix.. Hizi walikuja kujenga...
12 Reactions
89 Replies
3K Views
Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone. Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki Lifikirie hilo
0 Reactions
4 Replies
193 Views
Na ukiona tu Unachukiwa vibaya na Watu pamoja na Kusemwa vibaya na hata kuombewa mabaya pia huku Wewe ukiamini kwa 100% hakuna baya Ulilowafanyia au Ulilolifanya jua ya kwamba..... 1. Una Nyota...
11 Reactions
20 Replies
571 Views
Soko la benki Tanzania halijawahi kuwa na ushindani mkali kiasi hiki. Banks zipo kwenye mchuano mkali na Wateja wana uwezo wa kuhama benki kwa urahisi mkubwa mara 10 zaidi kuliko kubadilisha...
5 Reactions
16 Replies
764 Views
  • Redirect
Vyombo vya habari nchini Mali vimeripoti kukamatwa kwa jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la Sinayogo, ambaye ni Mganga wa kienyeji baada ya kudaiwa kupokea jumla ya €33,500 [ Milioni 97 za...
0 Reactions
– Replies
– Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Back
Top Bottom