Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi. Lyimo...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari jf Nisiwachoshe sana Mimi ni non-code Developer na hizi hapa ni App zangu zilizokamilika Chini ya 50%. Nilizotengeneza kutoka Loveble Fanya kupitia Apps hizi na toa ushauri wako...
2 Reactions
5 Replies
167 Views
Miaka ya hivi karibuni asilimia kubwa watu wengi hawana furaha na wana upweke kupita kiasi . na mimi nikiwa mmojawapo Je ni sababu zipi zinazopelekea watu kuwa na upweke na tufanye vitu gani...
5 Reactions
9 Replies
255 Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya , "Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wakuu, Binafasi nafanya kazi masaa yasiyopungua 16 kwa siku, na nime jiajiri mwenyewe kwenye masuala ya mifumo ya kidigital. Je, wewe mdau unafanya kazi masaa mangapi kwa siku ?
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Sifa za "Black Sheep" (mwana kondoo mweusi) katika familia/kundi: 1. Hutofautiana na wengine – Ana mtazamo, tabia, au maisha yasiyoendana na ya familia/kundi. 2. Mwenye maamuzi huru – Hufuata...
11 Reactions
22 Replies
498 Views
Kuna uchafuzi wa Hewa (Air pollution), Uchafuzi wa maji (water pollution) halafu kuna uchafuzi wa kelel (Noise pollution) Kukaa sehemu yenye kelele hasa karibu na Bar asu Club inayopiga muziki...
2 Reactions
8 Replies
164 Views
Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali. Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini...
8 Reactions
14 Replies
422 Views
Ukristo leo unakabiliwa na maswali makubwa ya kimaandishi, kikidoktrini, na kihistoria. Maswali haya hayawezi kujibiwa kwa kushambulia dini nyingine. Yanahitaji uchunguzi wa ndani, si kuvuruga...
3 Reactions
78 Replies
933 Views
  • Redirect
Kama kweli ni Muumba wa Wote kwanini lazima ujifunze kiaarabu ndio uweze kuongea naye Prophet Joshua -Zimbabwe
0 Reactions
– Replies
– Views
Kabla ya kuanza tuangalie nini maana ya Ignorant ni mtu anayekosa ujuzi, taarifa, uelewa au ufahamu kuhusu jambo fulani — hasa pale ambapo jambo hilo linatarajiwa kwa kawaida liwe linafhamika au...
6 Reactions
11 Replies
390 Views
Tujadili kwa weledi Mazoea hujenga tabia. Huko nyuma hiki ndio kipindi cha amsha amsha.. Wagombea wa vyama wakiwa busy na harakati zao za kuchukua form. Ama kujaza ama michakato ya michujo ndani...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
Kuna changamoto ambayo inazidi kukua katika hizi Shule za Sekondari kwa Watoto waliochaguliwa, unapotaka uhamisho kila shule wanakwambia wanahitaji Mtoto awe na wastani wa A. Mfano mimi ninafanya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwakuwa la ndugu zetu Wamasai tulishalisema sana lakini tukapuuzwa na kukejeliwa sana.. Ngoja sasa tuliache litutumke! Likifika pa kupasuka..TUSITAFUTANE! Tahadhari ya taharuki kuu iliyopo mbele...
54 Reactions
101 Replies
6K Views
Hizi machine zipo mpaka vijiji ambavyo hujawai kudhania Mashine zinameza sana coin, ni chipu ya computer imesetiwa kumeza karibia asilimia 70 ya pesa zinazoingizwa na kutema asilimia 30 tu...
4 Reactions
15 Replies
349 Views
Naaaaaaammmm! Wapenzi na wafuatiliaji wa simulizi za mtunzi wako hodari mahiri kutokea nchi ya mbogoland na sie mwingne ni Edgar Mbogo, baada ya ukimya wa muda mrefu sasa tumerejea tena na kigongo...
12 Reactions
2K Replies
285K Views
Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini...
4 Reactions
12 Replies
274 Views
Back
Top Bottom