Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026...
Kwa mwaka wa 36 mfululizo sasa, Afrika imekuwa ikiangaliwa kwa jicho la udugu na China na kuteuliwa kuwa kituo cha kwanza katika ziara ya nje ya nchi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kila mwaka...
Kwa yaliyotokea ,yanayoendelea na yatakayoendelea ni kama kuna kisasi cha ndani kwa ndani wazanzibari walikuwa nacho ,sasa mzanzibari mwenzao kachukua nchi kimabavu wanalipa hicho kisasi.
Binafsi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi.
Tuhuma hizo zinaeleza kuwa Heche...
Inasikitisha kutembeza chuma cha zaidi ya thamani ya
Tsh Milioni 100 bila kuwa na bima.
Waweza kuhakiki kwa kuweka namba ya gari T555EPN
https://tiramis.tira.go.tz/#/
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini...
Huyu ndo watu wa West wanasema anachukiwa?
Hivi kuna mtu mzalendo kama huyu? Hivi huyu anaweza saini mkataba wakuuza nchi?
Hivi huyu anaweza ibia wananchi wake?
Jamaa anaishi maisha ya kawaida...
Watu maarufu, hasa viongozi wa kisiasa au wanaharakati, huwekewa sumu mara nyingine kwa sababu ya misimamo yao, ushawishi mkubwa, au kuwa tishio kwa maslahi ya watu fulani wenye mamlaka au maslahi...
Habari wanaJF?,
Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha .
Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto.
Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa...
Mchezaji wa mpira wa mguu= 504million kwa mwaka kwa bongo ni neo maema
Teacher wa secondary = 8.4 million kwa mwaka elimu degree
Daktari bigwa= 20.4million kwa mwaka
Mwanasiasa (mbunge) = 141.6...
Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali...
Suala ambalo limejitokeza wiki hii mwanafunzi kung’ang’ania namba ya mtihani ambayo si yake na kusema ni yake si geni kwenye jamii zetu. Wazazi ambao si waelewa sana wanadanganywa sana na watoto...
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na...
Jirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri.
Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako...
Habarini wanajamii
Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii?
-Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.