Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uislamu wa Majini na Historia Yao Kabla ya Mtume Muhammad ﷺ Katika Qur’ani na Hadithi, kuna maelezo yanayosema kuwa majini waliumbwa kabla ya binadamu, na walikuwa na uwezo wa kubeba dini na...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Wakuu nauliza huenda mwaka huu kabla ya pasaka nikawa visiwani kwa wala urojo mimi na wife hivyo nahitaji kujua nauli ya mtu mmoja mwanza to Zanzibar ama Zanzibar to Mwanza nauli ni sh ngapi...
3 Reactions
6 Replies
262 Views
Watu wameanza kujenga tena kwenye road reserve 30 meters from the center of the road on each side. Wanauziana wakiambiwa kuwa zilipo nguzo za umeme ndiyo mwisho wa road reserve. Kuna wanaosema...
2 Reactions
2 Replies
140 Views
Wakuu. Teknolojia inazidi kukua Kila kunapokucha Kama ilivyo kwa Whatsapp mtu akiwa na namba Yako anaweza kuona picha Yako Je Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako inaweza kumletea jina lako...
1 Reactions
2 Replies
389 Views
Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu...
11 Reactions
75 Replies
3K Views
Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita...
2 Reactions
5 Replies
234 Views
Watanzania tuna kesha na kuomba. Ila kwa nini maombi yetu kuhusu mkubwa fella hayajibiwi? I wish..............
2 Reactions
15 Replies
303 Views
Kuna tukio la kusikitisha lilitokea mtaani kwangu. Kijana wa form five alikuwa anamlawiti mdogo wake wa kike wa darasa la sita (Mtoto wa mama yake mdogo anayelelewa na mama wa huyo kijana)...
8 Reactions
14 Replies
390 Views
13 jan 2026 Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani 1.Lala mapema 2.Amka mapema msimulizi 3.Soma kitabu atleast 20dk/siku 4.Fanya mazoezi kila siku...
0 Reactions
5 Replies
298 Views
SALAMU ZENU?? Hii thread ni ndefu ila we isome tu uimalize kwa manufaa yako 📢📢.HAYA kwa zaidi ya miaka 17 niliyokuwepo Jamii forum nimejifunza mambo mengi sana, nimekutana na mawazo ya kila...
2 Reactions
2 Replies
258 Views
Wakuu, heri ya mwaka mpya! Naenda kwenye mawazo yangu, moja kwa moja. Nafahamu fika, nyakati hizi, watu wengi, kutokana na sababu mbalimbali, hawanunui na kusoma magazeti! Sasa najua hata issue...
4 Reactions
6 Replies
270 Views
UFAFANUZI KUHUSU HITILAFU YA MTANDAO ILIYOATHIRI UTOAJI WA HUDUMA. Dar es Salaam: Tarehe 13. 01. 2026 Leo tarehe 13. 01. 2026 ilitokea hitilafu ya kifaa cha mawasiliano cha mtoa huduma za...
1 Reactions
2 Replies
298 Views
Shabiki wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Michel Kuka Mboladinga maarufu Lumumba, amezawadiwa gari aina ya Jeep na Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi, kwa kuitangaza...
3 Reactions
4 Replies
216 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni...
1 Reactions
0 Replies
140 Views
Kitu gani ulifanya mwaka uliopita kikavuruga kabisa mipango yako ya mwaka 2025 na hutamani mwingine akosee kama wewe Funguka kuna mtu anaweza jifunza kupitia wewe
5 Reactions
41 Replies
741 Views
Kampuni ya ushonaji nguo ya Mbogwe Nsoga imewafariji wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kuwapatia zawadi ya nguo. Faraja hiyo imetolewa leo Januari...
2 Reactions
1 Replies
167 Views
Nyota wa YouTube kutoka Marekani, IShowSpeed, amefutia ratiba ya ziara yake nchini Namibia kama sehemu ya safari yake ya “Speed Does Africa”, baada ya mamlaka za anga kushindwa kutoa vibali...
5 Reactions
10 Replies
483 Views
Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli...
1 Reactions
4 Replies
267 Views
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
312 Views
Back
Top Bottom