Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka...
Katika jamii za wawindaji mara nyingi kuishi kwao(kupata mlo wa kila siku)kunategemea na kiasi gani wanachovuna mawindoni hivyo inawalazimu kutumia nguvu ,akili na maarifa ya ziada kuhakisha...
Ninaandika kuelezea hatari ya usalama barabarani hapa Makongo Juu, Dar es Salaam hali inayohatarisha maisha ya raia na watoto wa shule kila siku. Watu tayari wamefariki hapa. Ninaizungumzia...
Tumeshudia Nchi mbalimbali zikifarakanishwa na tamaa ya madaraka kwa baadhi ya viongozi wa vyama na vikundi mballimbali na kusababisha matabaka hofu na uvunjifu wa amani. Kama tuna malengo mema...
Nataka kutofautiana na serikali ili nipate pesa
Issue inakuja wapi ntapata bunduki hata risasi tano
Location
Wakala
Sheri
Min bank
Supermarket
Unemployment is real
Wakuu mko wapi
Kuna ile tovuti kubwa na maarufu zaidi duniani kwa ajili ya kupanga nchi zenye pasipoti za kusafiria zenye nguvu zaidi duniani ambapo kwa mwaka huu 2026 tayari wametoo orodha yao...
Uongozi waiomba serikkali kuwatimua bajaji, daladala na bodaboda kila Road kwani ushindani umkua mkubwa hivyo kupelekea hasara kubwa na kushindwa kulipa madeni ya mikopo pamoja na mishahara ya...
Basi ikifika segimenti ya Bonge utasikia ka Brabra Boonji...then wanataniana hapo aah uendaji kazini unakuwa muruua kabisa hata foleni huioni!!! Gone are the good days!
Jana nimeangalia report ya DW kuhusu mauaji
Serikali wanasema waliuwa waandamanaji, wezi na vibaka lakini cha kushangaza polisi walifika mtaani na majumbani kuuwa kila Mtanganyika aliyeonekana...
Naomba kufahamu je, zile nyaraka tano( barua ya kuachishwa, certificate of service na copy ya NSSF ID card)za kuambatanisha kwenye maombi ya mafao ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria(kuwa...
1. Tulifanya kazi kipindi cha lockdown kwa sababu ya uchaguzi, tukajitoa muhanga kulitumikia shirika huku tukivuka mabomu na risasi za moto. Lakini cha kushangaza hadi wa leo hatujalipwa hizo...
Hili buti ambalo Chief godlove leo ameposti akituringia na kutudanganya kwa jazba na nyodo baada ya kuchekwa kafulia mitandaoni eti ni dollar za kimarekani 3500 kumbe ni euro 12 tu ambayo ni elfu...
Mkazi wa Dar es Salaam, Simon Bryson amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kugharamia matibabu ya mtoto wake Nilsa Simon kufuatia ombi lake kupitia...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya elimu/mada tata ambazo zimepigwa marufuku au kuzuiwa sana kufundishwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani (hadi mwaka 2026):
- Afghanistan (chini ya Taliban)
-...
POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka...
Kwanza nikiri, Mimi siitambui hii Serikali kama Serikali Halali , na hii inanipa ugumu wa kushauri kwakua sitaki nitaje neno 'Serikali'.
Lakini pia, Andiko hili ningemtaja Waziri Gwajima, ila...
Naombeni mnisaidie dawa itakayo maliza kunguni maana wamevamia chumba changu
na pia nimeckia ile dawa ya RUNGU spray yaweza ua kunguni je hii ni kweli?
Msaada please namna ya kuwatoa hawa wadudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.