Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KWA WANAWAKE UTAJIFUNZA KUWA NA OPTIONS ZAIDI YA MOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Moja ya faida kubwa utakayoipata ukiwa mtu wa kupenda wanawake, basi ni kuwa na options zaidi ya moja...
8 Reactions
32 Replies
635 Views
Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano...
2 Reactions
5 Replies
286 Views
Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanzoni nilikuwa najua mentor hutoa guidelines za mafanikio. Lakini ukweli ni kwamba njia alizotumia X kufanikiwa ni tofauti na njia utakazo tumia wewe Y kufanikiwa ukiiga utaishia kuingia...
5 Reactions
4 Replies
194 Views
Wananchi wa Kata ya Badi Vijiji vya Mashimba na Mhadi wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Wameishukuru Serikali kwa Kuwalipa fidia zao Kutokana na kuchukua maeneo yao ili kupisha njia ya umeme mkubwa...
3 Reactions
2 Replies
155 Views
Anonymous
Habari wanajamii, Leo naomba kuwasilisha kero yangu ambayo kwa sisi wakazi wa Ushirika wa Neema, Moshi inatukwaza sana, nayo ni KERO YA MAJI. Inashangaza kuona eneo kama Ushirika wa Neema kuna...
3 Reactions
3 Replies
173 Views
Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Siku hizi wilaya Bagamoyo (Mapinga, Kerege, Kiaraka), ambapo wengi wetu wafugaji wa kuku ndiyo tunafanyia ufugaji mkubwa) Nimekuwa naona makundi ya wakina mama...
42 Reactions
129 Replies
11K Views
Jana kuna mgonjwa kaenda kufunga kidonda (dressing) cha kidole cha mguu kaambiwa Bima yake haina hiyo huduma ya bandage. Bima aliyonayo ni hii ya wafanyakazi (NHIF); alielekezwa akanunue bandage...
2 Reactions
5 Replies
245 Views
Moto mkubwa umezuka muda huu katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es SalaamTayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limewasili eneo la...
2 Reactions
2 Replies
272 Views
Tutaendelea kusherehekea vifo vya Viongozi, Makada wa ccm na askari polisi na wasanii Hawa ndo maadui zetu wakubwa, maadui wa utu, makhabithi wakubwa Mungu atazidi kuwaangamiza usiku na mchana...
12 Reactions
21 Replies
415 Views
Habari ndugu zangu, Hii ni mchakato ambapo serikali au benki kuu inabadilisha thamani ya uso (face value) ya sarafu bila kubadilisha nguvu ya ununuzi halisi (purchasing power). Kwa kawaida...
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Ripoti za vyombo vya habari vinavyoaminika zinaonyesha kuwa runinga ya serikali ya Iran ilionyesha ujumbe uliotajwa kama njia ya tishio dhidi ya Donald Trump ikisema “Safari hii risasi haitakosa...
1 Reactions
5 Replies
222 Views
Baadhi ya maeneo ya Dar usiku mkali wa leo TANESCO mmekata umeme. Ili joto + mbu ni mateso.
2 Reactions
14 Replies
447 Views
🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee...
1 Reactions
4 Replies
372 Views
Kuna Padre Askari Komando, Architect, muhadhiri wa chuo kikuu alipata umaarufu sana kwenye vyombo vya habari miaka minne iliyopita. Anaitwa Dr. Henry Rimisho. Jamaa ukisikiliza wasifu wake wa...
1 Reactions
6 Replies
343 Views
Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na...
2 Reactions
11 Replies
593 Views
Je unajua AKILI ndiyo kiunganishi kikubwa kati ya kile Tunachoamini (imani/Roho) Kile tunachofikiria ( akili) Na kile tunachofanya ( mwili) Namna unavyofikiria huathiri maamuzi na maamuzi...
7 Reactions
17 Replies
306 Views
Hatuuchukulii utekaji na mauwaji kama vitisho bali ni upumbavu na ujinga unaofanywa na watu wasio na akili kwa vile huna akili.
1 Reactions
3 Replies
155 Views
Maombi unayoelekeza kwa Mungu wa mbinguni, yamewahi kukusaidia kwa namna yoyote ile katika maisha yako ?
3 Reactions
4 Replies
157 Views
My people, Tuhuma Zilizoripotiwa, Mijadala ya Kimaadili, na Maswali Kuhusu Unabii wa Kisasa Jina la TB Joshua, aliyekuwa kiongozi wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) nchini...
2 Reactions
5 Replies
369 Views
Back
Top Bottom