Kwanini Chadema isijiunge na CCM na kujenga Taifa letu

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,483
Reaction score
40,856
Tumeshudia Nchi mbalimbali zikifarakanishwa na tamaa ya madaraka kwa baadhi ya viongozi wa vyama na vikundi mballimbali na kusababisha matabaka hofu na uvunjifu wa amani. Kama tuna malengo mema kwa Nchi yetu basi tushirikiane na kuondoa chuki na siasa za kuharibu mambo mema yaliyopo hivyo kama ilivyokua kwa Angola Unita kuunga na serikali ikiyopo madarakani na Mozambique Frelimo kuungana na Renamo na kuleta matokeo chanya Basi ni vyema na sisi tukaiga kwa Chadema kujiunga rasmi na CCM wachape kazi kujenga Taifa letu...nawasilisha
1.jpeg
 
Watakuja kukutukana hapa ingawa una hoja ya msingi..
if you can`t beat them,join them..
 
Vyama vyetu hapa Bongo a k a Tz ni Sacco's za watu fulani hivyo ni sawa ukisema mbingu na nchi viungane.
 
Malengo ni tofauti CCM sera zao wizi,ufisadi,kuua demokrasia,kutotaka Demokrasia,elimu duni,
NANI YUPO TAYARI KUJIUNGA NA WATU WENYE MALENGO HAYA??
 
Kwani chadema wakibaki kama chadema na nyie kama nyie mnakwama wapi kama kweli nia yenu ni njema? Ndio ndo itapelekea kazi kufanyika? Au una manisha nn...
 
Utajiungaje na watu ambao pamoja na kukaa madarakani kwa miaka 58 kwenye nchi yenye utajiri mkubwa sana ikiwemo rasilimali, vyanzo vya maji, ardhi kubwa na yenye rutuba kubwa, raia wengi imeshindwa kuleta maendeleo ya kweli katika miaka hiyo 58!?

Kwanini ujiunge na majizi, waongo, mafisadi, watekaji, watesaji, WAUAJI, watoa na wapokea rushwa, wanaodharau Katiba, Bunge, mahakama, Watanzania etc

Kwanini ujiunge na waovu kama hawa ambao ndiyo chanzo kikubwa cha matatizo mbali mbali ya Watanzania kwa miaka chungu nzima!?
😳😳😳

Tumeshudia Nchi mbalimbali zikifarakanishwa na tamaa ya madaraka kwa baadhi ya viongozi wa vyama na vikundi mballimbali na kusababisha matabaka hofu na uvunjifu wa amani. Kama tuna malengo mema kwa Nchi yetu basi tushirikiane na kuondoa chuki na siasa za kuharibu mambo mema yaliyopo hivyo kama ilivyokua kwa Angola Unita kuunga na serikali ikiyopo madarakani na Mozambique Frelimo kuungana na Renamo na kuleta matokeo chanya Basi ni vyema na sisi tukaiga kwa Chadema kujiunga rasmi na CCM wachape kazi kujenga Taifa letu...nawasilisha View attachment 1101332
 
Haiwezekanaiii nikama shetani kujiunga na mungu daima huwez pata jino lenye afya kweny mdom uliooza

Mkuu - Chadema ni "PROJECT" ya watu ile; sasa tena iungane na "CCM"? Itawezekana kweli? Hivi Malengo na Mitazamo yao vinaendena kweli?
 
Kwani chadema wakibaki kama chadema na nyie kama nyie mnakwama wapi kama kweli nia yenu ni njema? Ndio ndo itapelekea kazi kufanyika? Au una manisha nn...
Namaanisha muunganishe nguvu sisi wananchi tunapenda tuone mkishirikiana na kutuletea maendeleo
 
Utajiungaje na watu ambao pamoja na kukaa madarakani kwa miaka 58 kwenye nchi yenye utajiri mkubwa sana ikiwemo rasilimali, vyanzo vya maji, ardhi kubwa na yenye rutuba kubwa, raia wengi imeshindwa kuleta maendeleo ya kweli katika miaka hiyo 58!?

Kwanini ujiunge na majizi, waongo, mafisadi, watekaji, watesaji, WAUAJI, watoa na wapokea rushwa, wanaodharau Katiba, Bunge, mahakama, Watanzania etc

Kwanini ujiunge na waovu kama hawa ambao ndiyo chanzo kikubwa cha matatizo mbali mbali ya Watanzania kwa miaka chungu nzima!?
[emoji15][emoji15][emoji15]
Sasa sindio mtapata nafasi ya kuwarekebisha vizuri mkiwa nao
 
Tumeshudia Nchi mbalimbali zikifarakanishwa na tamaa ya madaraka kwa baadhi ya viongozi wa vyama na vikundi mballimbali na kusababisha matabaka hofu na uvunjifu wa amani. Kama tuna malengo mema kwa Nchi yetu basi tushirikiane na kuondoa chuki na siasa za kuharibu mambo mema yaliyopo hivyo kama ilivyokua kwa Angola Unita kuunga na serikali ikiyopo madarakani na Mozambique Frelimo kuungana na Renamo na kuleta matokeo chanya Basi ni vyema na sisi tukaiga kwa Chadema kujiunga rasmi na CCM wachape kazi kujenga Taifa letu...nawasilisha View attachment 1101332

Kwanini usiwashauri Lumumba Fc wakaeka serekali ya umoja wa kitaifa, nahisi hilo ndio litakua ndo wazo bora kabisa, Lakini je watakua tayari?
 
Nope that’s impossible. Remember Kolimba and so many others and the fate they encountered when they tried to bring positive changes within the party. Do you know anything about kulivua gamba and wakatwa mikia? Do you remember the famous statement from Baba wa Taifa “ccm si mama yangu”?

Do you remember what happened to Kinana and Nape? And soon Bashe will be in the same fate.

Back
Top Bottom