Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani hapa ndege zote zinazofanya safari kati ya ulaya na Asia mashariki zinaikwepa anga ya Iran kama Ukoma yaani. Hapa hakuna shirika la ndege lita risk ndege yake iruke kwenye anga la Muajemi...
3 Reactions
14 Replies
257 Views
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Soma pia: Dar, Jengo la...
2 Reactions
4 Replies
252 Views
Je, unatafuta mwalimu bora wa home tuition kwa mtoto wako au kwa ajili yako binafsi? Sisi tunakuletea huduma bora, salama na za uhakika katika mikoa yote ya Tanzania HUDUMA ZETU Tunatoa Home...
1 Reactions
0 Replies
212 Views
Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza Mtendaji...
4 Reactions
37 Replies
535 Views
Kuna tukio moja lililonitokea nikiwa ndani ya daladala ambalo sitolisahau kamwe. Siku hiyo nilikuwa nikirejea nyumbani jioni baada ya shughuli za mchana. Daladala ilikuwa imejaa sana, watu wengine...
6 Reactions
27 Replies
829 Views
Ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani ijulikanayo kama Mei Mosi Mdau wa masuala ya Kijamii na Maendeleo ambaye Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania...
3 Reactions
26 Replies
955 Views
Watoto ambao umri wa kwenda shule kutoka wilaya ya Ngara wamejazana kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini haswa ya kanda ya ziwa, wengi wao ukiongea nao wanakwambia hawajamaliza hata darasa la saba...
5 Reactions
27 Replies
474 Views
Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi...
10 Reactions
67 Replies
3K Views
Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂 1. Kwanini Marekani na kwanini Tom...
4 Reactions
12 Replies
376 Views
Anonymous (6198)
Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa...
3 Reactions
6 Replies
368 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza Mkandarasi MCB Company LTD, Mbeya University of Science and...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Wizara ya Ardhi, ikiwa wizi na utapeli wa Viwanja na Nyumba kwa kutumia Hati halalali ya Wizara ya Ardhi Tanzania unafanikiwa, je ni Mwananchi yupi atakayewaamini? Tafsiri yake ni kuwa Hati yenu...
1 Reactions
8 Replies
258 Views
Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Wakuu, Wajumbe wa chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania wamekutana na waandishi wa habari mjini Arusha ambapo wameiomba Serikali kufuta lile agizo la kwamba lazima wakapakie abiria kwenye stendi...
0 Reactions
5 Replies
329 Views
Hii inashangaza sana mambo ya masilahi kama Miundo ya mishahara utasikia anaetajwa ni Doctor,, ikitokea jambo la kuvulunda utasikia Nurse kafanya lawama zote zinatolewa hapo, utasikia na vikao vya...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Ukweli ni huu hapa acheni kujifariji nyinyi ni bodaboda tu. Ibaki hivo achaneni na kupewa sifa na majina mazuri Serikali ingekuwa inawapenda isinge ruhusu kuingia kwa helmet feki na laini kuliko...
2 Reactions
3 Replies
159 Views
Anonymous
Habari za majukumu. Kumekuwa na utaratibu wa abiria wanaokata ticketi online katika kampuni ya GEITA EXPRESS kutozwa gharama za ziada mbali na nauli ilivyoandikwa kwenye mfumo wa ukataji tiketi...
0 Reactions
9 Replies
276 Views
Zamani hili vazi lilikuwa na heshima ila kwa sasa ndilo linaweka mambo hadharani tofauti na suruali
1 Reactions
8 Replies
232 Views
Back
Top Bottom