Wakuu, Kuna jamaa yangu anaitwa Michael amefariki jana na habari nimezipata leo kupitia accounts za washkaji zangu za Facebook pamoja na Instagram.
Sasa ninajiuliza, kuna faida gani ya kuwa mtu...
Je, Kristo atakufa mara mbili ili akuokoe kwa mara ya pili?
Na kama vile wanadamu wamewekewa kufa mara moja, na baada ya hapo hukumu, vivyo hivyo Kristo, akiwa ametolewa mara moja ili azichukue...
Kuna mikakati mingi sana inapangwa ili.
1. kuwasahaulisha Watanganyika na mauaji ya October 29
2. Kufubaza harakati za Gen Z
3. Kuzoezwa uongo ili kuutambua uongozi batili
4. Kuacha kujadili...
Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani.
Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo...
Wakuu,
Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?
Ina maana...
Simulizi zinasema kuwa kuna watu waliwahi kupachezea na kuzindika mambo yao mahali hapo. Ndiyo maana kuna mambo ambayo ukifanya kinyume, yanakurudia mwenyewe kwa namna mbaya sana.
Usiku giza...
Baadhi ya Polisi wanatuibia sana, mara kumi kitengo cha kui-track simu ikipotea kiondolewe rasmi, sio uongo wala nini, mara zote tukiibiwa simu tunaenda kuripoti Polisi. Loss report kwanza kwenye...
Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco
Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi.
Wanaijeria...
Moja ya jambo lililozua gumzo katika fainali za AFCON 2027 huko Morocco, ni pamoja na ziara za Streamer maarufu duniani anayeitwa IShowSpeed kuingia katika fainali hiyo na kukutana na mashabiki na...
Simon Mnyola Baba mzazi wa mtoto Nilsa Mnyola amethibitisha kifo cha mtoto wake wake aliyezaliwa na tatizo la kichwa kikubwa (Hydracephalus) alipokuwa akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya...
Katika mkutano wa CAF uliofanyika hivi karibuni, Kuna kipande cha video cha mkutano huo kimeibua maswali mengi hususani kwa watu wa Afrika Mashariki, ikiwemo wakenya ambao kwenye kurusa za...
Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Kiluwa ambaye ndiye Mwenyekiti/Mmiliki wa Makampuni ya Kiluwa Group Tanzania ( KG), amesema yupo tayari kuyaleta Jijini Dar es salaam Mabasi ya Abiria ya MAZ...
Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki
Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya...
Habari
Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika.
Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza...
Kwa mara ya kwanza madaktari bingwa bobezi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakishirikiana na wataalam kutoka Pennsylvania Marekani wameanza kutibu pingili za mgongo kwa...
Kisa Kinachosambaa sasa nchini Misri..
Vyombo vya habari nchini Misri vimesambaza kisa cha kusikitisha cha daktari mmoja aliyetumia zaidi ya miaka 30 akifanya kazi nje ya nchi yake, akiwa nchini...
Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.