NAPENDA KUWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU JINSI JWTZ INAVYOWEZA KUREJESHA NA KUIMARISHA IMANI YA JAMII KUPITIA MAUDHUI YA FILAMU NA TAMTHILIA (MOVIES/SERIES).
Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sanaa...
Halmashauri ya Wilaya ya Chato imetoa mitumbwi miwili kwa ajili ya Kisiwa cha Iyozu ambayo itatumika zaidi katika kuwasafirisha Wanafunzi bure wakati wa kwenda Shule na kurejea nyumbani.
Diwani...
Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.
Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi .
Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu.
Ok, tuseme...
Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama...
Mwenyekiti na mjumbe wa mtaa huo wamepewa taarifa lakini bado wamekuwa wakipuuzia sababu hawako jirani na eneo hilo.
Ni hatari kwenye makazi ya binadamu, Serikali itusaidie kwa kumkemea awajibike...
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
Alert🚨🚨🚨
.............................................................,..
👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji
Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka...
💯 Mnayelingana nae au kukuzidi hatua za kimaendeleo
💯Familia yake inalingana au kuizidi familia yenu mandeleo
💯Ambaye haujamzidi umri kuanzia miaka mitano
💯Anaeshi geto mwenyewe na hana kazi...
Dkt. Dorothi Gwajima ni mzuri sana kwenye mambo za ukatili wa kijinsia TU, akuchambeeeeeee weeee mpaka ukome,
Akute ni dume halafu unamegwa walai utachambwa na yule mama mpaka ukome,
Akute wewe ni...
Uandike Angani, Uandike Ardhini
Uandike angani kwa wino wa nyota,
uandike ardhini kwa damu ya miguu—
maneno yatapaa, yatakanyaga,
lakini mambo husimama pale pale.
Piga kelele hadi sauti ichoke...
Andika juu ya anga,
chora juu ya ardhi,
piga kelele zako hadi mbinguni,
lakini ukweli hausogezwi.
Nimechoka kusubiri ruhusa,
ya kuwa mimi,
maana hata upepo hauulizi
kabla haujavuma.
Wanazungumza—...
Watanzania naona wamefika mbali sana ,
Nimeona video inasambaa mtandaoni inaonyesha askari akiwa amemshika Raia kama mtuhumiwa wametokea chumba kimoja wapo ndani ya bank
Wakati anamwongoza kutoka...
Kama kichwa hapo juu kinavojieleza Mimi ni muajiriwa wa shirika kubwa tu la serikali hapa nchini (temporary Employment) miaka 9 sasa naona wazo linalo nijia mafanikio yangu hayatapatikana kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.