DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaagiza Makamishna wa Ardhi Wasaidizi katika mikoa yote nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji...
Inadaiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Jonathan Mabihya, amefanya tukio jingine jipya na baya kwa kushirikiana na katibu Mwenezi wa wilaya CCM Manispaa ya moshi Athuman Mfuchu kuchukua...
KAMA HUTAKI MTOTO WAKO AITWE MTOTO HARAMU, ZAA KWA UTARATIBU HALALI. NJE YA HAPO HARAMU ITAITWA HARAMU TUU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Oooh! Mtoto hana makosa yoyote. Oooh! Mtoto hahusiki...
Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa...
Mimi ni mdau wa JamiiForums ninayeishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B. Nimekuwa mtumiaji wa mtandao wa Halotel kwa takribani miaka minane sasa, lakini kwa muda mrefu...
Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na...
Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What...
Chipukizi wa kiume huko mashuleni na wao wamekubali harakati..Wanalinda migongo Yao kwa wivu mkubwa.
Mafanikio haya ya dudu baya yamfikie BICHWA KOMWE - pamoja na mshirika wake cocastic
Ya sabasaba yamepita bila watu wengi kuandamana kutokana na nguvu kubwa ya ulinzi iliyotumika kudhibiti maandamano
Siku ya 7/7 ilitawaliwa na ukimya wa kutisha
Barabara zilikuwa tupu
Biashara...
Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja:
Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na...
MOSHI, KILIMANJARO.
Ni majira ya saa moja na nusu usiku wa Ijumaa.
Katika utulivu wa usiku, eneo la barabara ya Mweka lilikuwa likipokea wageni ambao wananchi hawakuwatarajia β si watu, bali...
Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa...
Wakazi na wadau wa Jiji la Dodoma, kuna jambo ambalo kwa kweli linahitaji majibu na hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika.
Ukipita maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, ikiwemo NSSF, Chuo...
Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.
PINGAMIZI...
NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI
Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa
Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi...