Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti...
Ubayd Allāh ibn Jahsh (عبيد الله بن جحش), ambaye alikuwa binamu wa Mtume Muhammad ﷺ.
Nitasimulia kwa ufupi historia yake halisi kama inavyopatikana katika vyanzo vya mapema vya Kiislamu
Jina...
Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Kila mwaka kumekuwa na madai ya walimu kuchangia katika michango mbalimbali ya shughuli za kiserikali kwa ushurutishwaji hasa na wakurugenzi wa...
Kama inavyofahamika kwa wengi, kampuni nyingi za mabasi jijini Dodoma hutumia ofisi zao kama maeneo ya kusubiri usafiri au kushusha abiria. Hali hii huzifanya ofisi hizo kubeba jukumu la kuhudumia...
Chuo cha Arusha Tech kimekuwa kero kwa baadhi ya wanafunzi ambao licha ya kulipia hostel mpaka leo hawajapata chumba, na wamekuwa wakiwazungusha wanafunzi ambao mpaka leo wanahangaika kupata...
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre...
1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame
2. Masai
3. Wakinga
4. Wangoni
5. Wajita
6. Wagogo
Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi...
Mkurugenzi wa Wasafi Media, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, ameipongeza Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari...
Njia 5 zitakazo Kufanya Uweze Kufanikiwa kiuchumi na Uweze Kua Napesa Nyingi.
1)Kufanya Kazi kwa Bidii
2)Kwenda kwa waganga
3)Kua mwaminifu
4)Kwenda kwa waganga
Kwanini waganga,Mganga...
Kufuatia tukio la mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Murieti Jijini Arusha, aitwae Daniel Jeremia (15), kutoweka nyumbani kwao January 26, 2026, nakuacha ujumbe unaosema kuwa...
Simu: 079 531 536 9
Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka.
Habari;
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya...
Ahadi za ujenzi wa miundombinu ya kisasa zilikuwa sehemu kubwa ya kampeni za uchaguzi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hata sasa hazina inatakwa kuuzwa ili kujenga miundombinu, pengine wanadhamira...
Zaidi ya watu 200 wamefariki kufuatia kuporomoka kwa mgodi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa mujibu wa mamlaka za waasi.
Mgodi huo uliopo katika mji wa Rubaya uliporomoka...
Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja...
Kuna Bwana mmoja maarufu anaitwa JOMEKE; Huyu bwana ni katika wale watu wasiokuwa na vifua, hana stahimala akiona jambo. Vijana wanasema friji lake haligandishi. Jomeke hawezi kabisa kuficha siri...
Anapenda sana kuwa uchi anapojihisi yupo peke yake, Ni mtu mzima yupo kwenye 40
Ukienda kwake lazima upige simu mara nne hadi tano kumwambia ujio wako lengo likiwa asijisahau mumkute yupo uchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.