Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Miradi mikubwa ya nchi inayokuja kufunguliwa, kwanini msiweke hata asilimia moja ya sherehe, kwa mfano kama juzi tumekwenda kufungua Meli, pale wananchi wamekuja kwa tabasamu kubwa kuona Meli...
5 Reactions
22 Replies
353 Views
Hawa ndio watumishi wa umma wenye mambo ya ajabu na ya kustaajabisha Walimu Watendaji wa vijiji Maafisa polisi Katika Makundi haya ndio watu utakuta wanaishi kwa Madeni from January to December...
12 Reactions
35 Replies
942 Views
Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa...
10 Reactions
27 Replies
608 Views
Tumepotelewa na Mama anayeitwa Verediana Mataba au Mama Jane siku ya tarehe 27 Januari 2026 katika maeneo ya Kisesa Mwanza. Mama huyu ni mwenyeji wa Buhare Musoma na alikwenda Mwanza kwa ajili...
5 Reactions
15 Replies
405 Views
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Dhahabu ni pesa, haya ni baadhi ya majibu kutoka kwa raia wa mtandao Fulani baada ya red kuanzisha hii mada.. for sure tz state inaenda kuangua soon.
3 Reactions
19 Replies
287 Views
Unakuta kijana ana elimu nzuri tu na nidhamu ila hayuko familiar kabisa na maisha mengine ya kidijitali. Kijana hajui kutumia word, hajui hata Chatgbt ni nini, kijana anapeleka simu kwa fundi ku...
7 Reactions
18 Replies
318 Views
Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda...
5 Reactions
8 Replies
265 Views
Dah Ndaro mchekeshaji maarufu Tanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii kavuta ndinga kali Audi Q 6 yenye thamani ya shiingi million karibia 60. Na hii ni ndinga yake ya pili. Watu bongo wanapiga...
8 Reactions
39 Replies
706 Views
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa; 1. Afrika Kusini $410.34b 2. Egypt $347.34b 3. Algeria $268.89b 4. Nigeria $188.27b 5. Morocco $165.84b 6. Kenya $131.67b 7. Ethiopia $117.46b 8. Angola...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hebu tuache unafiki wa kuitana “wasomi.” Ukweli mchungu ni kwamba, kuanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu, mfumo wetu wa elimu mara nyingi haujengi maarifa ya vitendo wala fikra huru, bali...
6 Reactions
21 Replies
479 Views
Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao... Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao. Ni Kama...
3 Reactions
7 Replies
335 Views
Yani ni Bora ukajipoteza kabisa Msikilizeni hapa Mwigulu alivyojibu swali hili la msingi kabisa. Nimechoka.😓😓
4 Reactions
8 Replies
278 Views
Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu...
11 Reactions
50 Replies
1K Views
Hivi huyu kichwa chake kipo sawa kweli? Anaongea maneno ambayo hata nafasi yake inamsuta na kumutkana. Yalitokea Oktoba 29 na 30 ndio maana ya haki za binadamu? Kuna familia hadi leo hawajui...
1 Reactions
7 Replies
191 Views
1 • Unahitaji Pesa Ili Uishi Comfortable. 2 • Watu hawajali matatizo yako. Wanajali vile unavyoweza kuwasaidia wao watatue wakwao. 3 • Kujiajiri na kuanzisha stable business ni kazi ngumu...
16 Reactions
19 Replies
5K Views
Ndugu wapendwa, Jumamosi iliopita saa saba na nusu mchana kwa walio Tanki bovu kule chini jiran na Mh Mboma wanakumbuka kilitochotokea nikiwa na mama Didy nje tunapata juice ya origin kutoka kwa...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
NB: Hapa Maria Sarungi na Mange Kimambi hawahusiki wao ni Wanaharakai Kwa miaka mingi tumekuwa tukipigiwa kelele nyingi za Feminism, wakitaka usawa katika fursa za kisiasa, kiuchumi na kijamii...
3 Reactions
4 Replies
269 Views
Back
Top Bottom