Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum...
12 Reactions
22 Replies
450 Views
Kumbuka crdb huwa inatambulika na rangi ya kijani😁
3 Reactions
4 Replies
214 Views
Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni. Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka. Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi...
3 Reactions
9 Replies
230 Views
Mwanadamu hajui wala hatambui siri ya kifo, bali ni aliyeumba ulimwengu huu ndiye anayeijua. Lakini baadhi ya machaguo katika maisha hufanya watu kufanya tathmini ya kifo chako mwenyewe au kujua...
2 Reactions
2 Replies
767 Views
Waziri wa Elimu Kaka yangu Profesa Adolf Mkenda, naandika haya kukujuza haya. Vyuo vya kati vilikuwa kimbilio letu la watoto wanaosoma shule za kata, shule ambazo wanafunzi wanaweza kumaliza mwaka...
3 Reactions
9 Replies
776 Views
Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele...
23 Reactions
94 Replies
3K Views
Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea...
3 Reactions
7 Replies
501 Views
Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI...
4 Reactions
21 Replies
529 Views
Dan 10:11 SUV [11] Akaniambia, Ee Danieli, mtu upendwaye sana, yafahamu maneno nikuambiayo, ukasimame kiwima-wima; maana kwako nimetumwa sasa. Na aliponiambia neno hili, nalisimama nikitetemeka...
1 Reactions
8 Replies
278 Views
Naona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
9 Reactions
109 Replies
4K Views
Uchambuzi wa Zaburi 83 Zaburi 83 ni moja ya zaburi za Daudi, ambazo zinatofautiana na nyingine kwa sababu inaonyesha maombi makali ya Mungu kuwalinda Waisraeli kutokana na maadui wao. Zaburi hii...
3 Reactions
44 Replies
651 Views
Jan mwanzon Nilitoka.mkoa nilikuwa nakimbizana na kakazi Flani Toka Sept Nilipofika. Home nikahondomola.na shemeji yenu kama siku 5 mfululizo Ya sita na saba nk.nkaona kila.nikiingia.inalala...
4 Reactions
20 Replies
443 Views
Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'. Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu this is my story. Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online. Mimi ni graduate wa shahada...
17 Reactions
53 Replies
4K Views
Anaendelea kusema: "Ninaendelea kusema kwamba ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi. Messi alikulia katika timu anayochezea, pamoja na wachezaji wenzake anaocheza nao. Cristiano alitoka...
5 Reactions
7 Replies
302 Views
Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi. Inakuwaje akusitiri ilihali yeye hajajisitiri?
3 Reactions
6 Replies
236 Views
Kila nikifikiria hili swala la Maduro kunyakuliwa usiku wa maanane ikulu ,basi bila shaka alikuwa hawaamini "My fellow county men" mpaka akaamua kuwakodisha wa Cuba kama Walinzi wake. Sasa wa...
3 Reactions
4 Replies
212 Views
Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala. Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la...
1 Reactions
2 Replies
192 Views
Back
Top Bottom