Habari zenu?
Nimekaa na kufikiria kitu ambacho kina ukweli ndani yake, kitu kinachorudisha maendeleo ya vijana chini ni kamari.
Leo ukipoteza 1000 baada ya siku 10 ni 10,000. Baada ya siku 100...
Sijajua ni kwanini wa China wakikutana nchi za nje haswa kikazi hawapendani na hawana ukaribu tofauti sana na watu wa jamii zengine kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba hawataki kuwa karibu sababu...
Hamjambo!
Msibabaishwe na teknolojia sijui mitandao ya kijamii. Mkafikiri mtaishi huko mitandaoni. Msijisahau. Mambo yanaenda kubadilika sio muda.
Nunueni hata huko madongo kuinama. Mashambani...
Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia.
Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni...
Mwaka 2025 kulitokea vurumai nchini Israel pale kundi la wanazuoni wa Kiebrania wajulikanao kama Haredi lilipotakiwa kujiunga na jeshi la nchi hiyo kisheria.
Hoja kubwa iliyojengwa na Serikali...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amesema Serikali ipo kwaajili ya kuwawezesha Vijana wenye ndoto yakuwa mamilionea kupitia maudhui ya kazi zao huku akimtaja mchekeshaji...
Niliitwa kama mwandishi kwenye kikao cha wafanyabiashara wa Soko la CCM Katoro Geita. Nilifika kusikiliza kero zao kuhusu vitendo vya mwekezaji wa soko hilo ambavyo vimekuwa vikiwanyanyasa...
Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu.
Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe...
GT
Kwanza kuanzia Alhamisi last week bei imeporomoka hatari japo ilipanda kwa miezi 4 mfululizo.
Na hatujui itaporomoka hadi wapi maana inazidi kushuls tangu watangaze kuuza dhahabu inawezekana...
Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa umoja huo, Aliko Fwamba, anayetuhumiwa kushindwa kuitisha Mkutano Mkuu...
Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake.
Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama...
Unapopanga jambo lako mfano haruc , birthday au sherehe yeyote ile tambua ya kwamba ratiba yako wewe sio sawa na ya mtu mwengine . Usichukie mtu kwasababu hajatokea kwenye jambo lako hauwezi jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.