Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua.
Wakati Mtume Muhammad (sala...
Baada ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi kukamilika maeneo ya Gongolamboto, wafanyabiashara ndogo yaani Machinga sasa wameamua kupanga biashara zao hadi katikati ya barabara, matokeo yake sasa...
Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia (DEC) imemkamata Ahmed Muharram (40), raia wa Tanzania anayetajwa kuwa mlanguzi mkubwa wa dawa za kulevya, katika oparesheni maalum jijini Lusaka...
Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV.
Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa...
Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.
Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe
Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni...
Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo
Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani
Hawaoni kama wao wana thamani...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika Wizara ya Ujenzi ishughulikie ucheleweshwaji wa vibali vya usafirishaji wa mizigo maalumu (Special Load Permits) katika Mfumo wa ePermit , Wizara ya...
Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za...
Rais wa zamani wa Zimbabwe, hayati Robert Mugabe ametajwa katika kundi jipya la faili za Jeffrey Epstein zilizotolewa Marekani.
Katika mawasiliano ya barua pepe ya mwak 2015 na mjasiriamali wa...
Usiumie, usilie wala usijipe unyonge kuona wengine wanapata mafanikio wakati wewe miaka nenda miaka rudi upo palepale.
Sikia nikwambie ndugu yangu, sio kila mwenye mafanikio ana raha na mafanikio...
NI JAMBO LA KAWAIDA WATU MNAOFAHAMIANA KUKUCHUKIA UNAPOFANIKIWA. USIWALAUMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Mafanikio yapo ya aina nyingi Sana. Yapo mafanikio ya kiuchumi, kimahusiano...
Kuna mazingira ambayo yanalazimisha mtu kusoma shule ya bweni na kuna wengine wanaenda tu kwa mapenzi yao au maamuzi ya wazazi/ walezi.
Kwa mliobahatika kuishi maisha ya bweni ni matukio gani ya...
Nimeambiwa hawa ni WAWEKEZAJI/WAJASILIAMALI wako kwa Ofisi wanapambana na Muhindi/Kanjibai, ila hii kazi nayo nzito sana, utsema wako Prepo wanajiandaa na pepa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hunywi Bia,
Una aibu,
Introvert,
Mkimya.
Na sio kusema kwamba unywe kila siku ila angalau mara moja kwa wiki siku kama Friday unaenda kupata kinywaji, aibu inakutoka, unakuwa mwepesi ku ocialize...
Habari wakuu.
Mnamo wa mwaka jana mwezi wa nne nilipata kazi kwenye kampuni moja hivi, tulikubaliana kiasi cha mshahara take home itakuwa 500K. nilivoanza, nilikuwa napokea cash kwa accountant...
Chande, umma wote unaikataa tume yako, unapoteza muda kwanini? Dunia nzima haitakibali utakachokitoa
Tumia muda wako mchache uliobaki kumtafuta Mungu kuliko kumtafuta Samia!
Kauli ya Naibu Waziri Mhe. Regina Ndege Qwaray kwamba wanaojitolea wanapendelewa huku akisema kujitoa sio kigezo cha ajira, ni kauli inayokera na inayokosa uhalisia. Ukweli ni mmoja: hii ni...
#Kukata Tamaa ni sawa na Kukubali kuwa wewe ni maiti
Tupo site uwanja wa vita tunapambana bila kukata tamaa tukishindwa tunainuka tena na kufanya tathimini wapi tulipo kwama na kurekebisha Kisha...
Eneo la viwandani Buguruni Madenge kuna wezi na wakabaji, wamejenga vibanda katika eneo hilo na kusababisha hofu kwa wapita njia waendao kazini hasa kwenye viwanda.
Wanaishi na wanalala hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.